Raia namba moja wa nchi hii ni nani?

Raia namba moja wa nchi hii ni nani?

Damu Ya Yesu

Member
Joined
Mar 27, 2020
Posts
99
Reaction score
63
Hivi ni nani alikuwa mtu wa kwanza kuzaliwa hapa Tanzania/Tanganyika na kwamba ndo anapaswa kuitwa raia namba moja?
 
Ssfari hii wsmekuweza.

Usitumie tena sigara bwege unaweza kuwekewa limbwata😅
 
Duh..!
Umemkimbiza mazima😁

Huyu inaelekea ni miongoni mwa vijana waliofunga shule akaamua naye atoe alicho nacho. Huenda pia aliuliza kwa mwalimu wake akakosa jibu.
Damu Ya Yesu , kabla ya kutaka kujua mtu wa kwanza Tanganyika, tafuta kwanza historia ya Tanganyika yenyewe na chanzo chake.

Kwa kifupi ni kwamba Afrika ilikuwa na watu tangu zama za kale(rejea binadamu wa kwanza) na ilikuwa haina mipaka unayoiona sasa bali ilikuwa na tawala ndogo ndogo za kijadi(kikabila/ukoo).
Nchi zote unazoziona sasa hivi kwenye hili bara na mipaka yake(ikiwemo Tanganyika)imewekwa na wazungu miaka ya hivi karibuni.

Hivyo kuuliza mtu wa kwanza Tanganyika sio rahisi kumjua kwa sababu wakati mipaka ya Tanganyika inawekwa kulikuwa na watu ndani.
 
Hahahaha mkuu bora umemsaidia kiasi.

Vijana wa siku hizi wanakosa logic kwenye mambo yao mengi. Logic nikimaanisha mantiki.
 
Back
Top Bottom