Ina maana Jenerali nae ananunulika siku hizi?
manake ni kama wameamua kupiga kampeni za wazi kabisa za kumsaidia Magufuli...
nimejiuliza why wanaogopa kuwa neutral...
Namshukuru Mungu kuniwezesha kutambua ni kwanini magazeti haya sasa hivi yanamchafua sana Lowassa.Hii ni hali ileile iliyompa ulaji Salva na Salva sasa ni mtu mwingine tofauti na mwandishi wa habari.Salim alichafuliwa vilivyo mpaka mukulu tukamuita chaguo la Mungu.Kwa taarifa yenu watanzania wa sasa si wa miaka kumi iliyopita mtaandika na kuchafua sana lakini ukweli utabaki palepale.
Mabadilikoooooo....................
[U said:The Boss;14155188]Ina maana Jenerali nae ananunulika siku hizi?[/U]
manake ni kama wameamua kupiga kampeni za wazi kabisa za kumsaidia Magufuli...
nimejiuliza why wanaogopa kuwa neutral...
Huwezi kuwa neutral
lazima uwe moto au baridi...
Hawawezi ujua ukweli afu wa pretend kutojua...
Yani uachie wananchi waamue? kwa akili zipi?
Lazima waonyeshwe njia..kuwa huku siko....
Mi nimefurai jinsi wasivyomung'unya maneno...
Hata CDM ukweli wanaujua....
Ila wana interests zao (wanatumiana)

Anaogopa kuambiwa siyo raia watz,pia na umri umeenda anataka na yeye aenziwe kama Akina SALVA,MUHINGO na CHARLES CHARLES,kwa sasa hivi hayo magazeti siwezi hata kufungia vitumbua vitachafuka.
Kichwa cha habari cha Raia Tanzania leo kimemdhalilisha Generali na wenzake ! Hata kama ni kushabikia basi na taaluma ibaki kidogo! Pale juu wangeonesha kuwa maneneo yale yamesemwa na Na Mtoto wa Nje ya ndoa Nape Mnauye! Poor GENERALI NA WENZAKO MWAKA HUU NI SHIDA!Ina maana Jenerali nae ananunulika siku hizi?
manake ni kama wameamua kupiga kampeni za wazi kabisa za kumsaidia Magufuli...
nimejiuliza why wanaogopa kuwa neutral...
Jenerali alifanya hivi kwa Mkapa
walimsaidia mno kumshinda Mrema halafu Mkapa akaja kumvua uraia Jenerali
na kupiga stop matangazo ya serikali kwenye magazeti yake hadi kampuni ikafa
akaiuza...na aliapa kubaki neutral na kuto side na yeyote
sasa ndo najiuliza why now ana take side?
ni kweli Lowassa ni 'that big threat'?
Magufuli akija wageuka je?
Mimi binafsi sioni kama wanahitaji kumsaidia Magufuli...
wabaki katikati wawe balanced....sioni kama Magufuli atashindwa
Ukweli hauna pande mbili...
Mimi nawshangaa wasio wazi kimsimamo...ndumila kuwili kuliko walio wazi....
Ina maana Jenerali nae ananunulika siku hizi?
manake ni kama wameamua kupiga kampeni za wazi kabisa za kumsaidia Magufuli...
nimejiuliza why wanaogopa kuwa neutral...
...JAMAA AME''GAMBLE''...labda baada ya uchaguzi awe tena dhidi ya serikali ndiyo biashara yake ya magazeti itaflourish,maana kwasasa anachofanya ni kazi ya Uhuru, Mzalendo na Habari Leo(Magazeti yanayoendeshwa kwa Ruzuku )..Kila wiki nilikuwa sikosi magazeti yake..ila kwa sasa yamekaa kipropaganda zaidi....Ndio maana nasema wakenya na Gazeti lao(MWANANCHI) wataendelea kuuza kuliko magazeti yote nchi hii mpaka tuwe serious.......
Huu ni upuuzi wa kutaka magazeti yote yaimbe wimbo wa Mwanahalisi, Tanzania Daima, Mawio, Mtanzania na hata nipashe.
Hilo gazeti linaandika ukweli ndio maana nyie mnalishupalia, maana linagonga kwenye mfupa.
Kwa nyie ambao mpo tayari kuchagua hata maiti au jiwe basi sio Saizi yenu, nyie someni hayo hapo juu ambayo ni vigumu kutofautisha Tanzania Daima, Mawio, Mtanzani na Uhuru.
Raia MWEMA ndipo Gazeti ambalo sikosi kulinunua, Nenda hata kwenye website yao angalia views, wakati mwingine makala moja inasomwa na watu Hadi elfu ishirini.
Wenye akili wanaelewa sio wote wanaweza kuburuzwa na Pesa za Lowassa.
Mwananchi nalo linashabikia Ukawa silioni kama liko neutral.