Raia Mwema: Aliowatema Hayati Magufuli warejeshwa tena

Nazidi kuamini..ssh aliishi kinafiki na jpm..ilikua ni suala la muda tu kuonyesha rangi yake halisi..hizi siasa za bongo inabidi uwe pungua ndio uziishi.

#MaendeleoHayanaChama
Sikutegemea huyu Rais wetu kuwa karibu saaaanaaa na yule Mange Kimambi!
Sidhani kama Duniani hapa, kuna zaidi yao hawa watu wawili, Mange na Kigogo waliokuwa wanaporomosha matusi kwa JPM, na Serikali yake. Leo hii, amekuwa mtu wao!
 
Mimi na yule ni kitu kimoja. Kimsingi hii kauli ilisemwa ili kuwapoza sukuma gang ambao ni tishio kwa hangaya. Matendo yake yanaonyesha uhalisia wake
 
1. Prof. Mbarawa
2. Sophia Mjema
3. Amos Makala
4. Mchechu
4. January Makamba
5. Mramba
6. Lawrence Mafulu
7. Ashatu Kijaji
8. Iren Issaka
9. David Kafulila
10. Alphayo Kidata

View attachment 2021628
Kwani hawakufaa kurudishwa? Na yeye je angekuwepo asingewarudisha? Mbona alimtema Simbachawene na Mwigulu akawarudisha!
 
Sophia Mjema na Kafulila hawakutemwa, walijitema wenyewe, walishaambiwa ukienda kugombea ubunge nafasi yako anapewa mtu mwingine, wao wakaamuwa kubet.

Nampongeza sana marehemu kwa hili japo alikuwa shetani lakini msimamo huu ulikuwa sahihi na ndio ulitusaidia kumpoteza Makonda.
Ni muda tu makonda atarudishwa.
 
Hii katiba ya KKKT iko vipi?!
Sasa ikiwa hata Mkuu wa Kanisa hana mamlaka kwenye hizo dayosisi kazi kubwa hasa ni ipi?
Hili Kanisa letu hii migogoro ya kimaslahi inatutia aibu sana!
Kila Dayosisi ina katiba yake. Mkuu wa Kanisa hana mamlaka yoyote kuingilia mambo ya Dayosisi nyingine.
 
Maana ya mkuu ni nini?
Wabadilishe katiba kwanza itakayompa mamlaka juu ya Dayosisi zingine, otherwise anachokifanya sasa hivi ni NULL AND VOID.

Nasikia wako kwenye harakati za kubadilisha katiba ya KKKT ili kuiweka hiyo provision itakayompa mamlaka Mkuu wa KKKT. Lakini as of now aachane na mambo ya Konde, amwachie Askofu husika aumalize huo mgogoro kwa kutumia organs zake kama alivyowaachia wa Dayosisi za Ziwa Tanganyika, Mufindi, Kaskazini Mashariki, Karagwe kipindi kule n.k
 
Sasa Uaskofu mkuu wake ni juu ya nini? Ni mkuu wa kitu gani?

Haya ni madhara ya copy and paste bila kuedit.

Kanisa katoliki halina Askofu mkuu wa Tanzania, kila Askofu ni mkuu kwenye jimbo lake na ana mamlaka kamili.

KKKT waondowe Askofu mkuu wa nchi nzima wabaki maaskofu wa majimbo wenye mamlaka kamili kwenye majimbo yao.

Dhambi ya Uprotestant inawatafuna.
 
Sophia Mjema na Kafulila hawakutemwa, walijitema wenyewe, walishaambiwa ukienda kugombea ubunge nafasi yako anapewa mtu mwingine, wao wakaamuwa kubet.

Nampongeza sana marehemu kwa hili japo alikuwa shetani lakini msimamo huu ulikuwa sahihi na ndio ulitusaidia kumpoteza Makonda.
Huko ndiko kutemwa kwenyewe!
 
Nazidi kuamini..ssh aliishi kinafiki na jpm..ilikua ni suala la muda tu kuonyesha rangi yake halisi..hizi siasa za bongo inabidi uwe pungua ndio uziishi.

#MaendeleoHayanaChama
Shida mnataka Samia amuige magufuli, wakati yeye ndio mwenye mamlaka na anateua awapendao kama ilivokuwa kwa JPM
 
Sasa Uaskofu mkuu wake ni juu ya nini? Ni mkuu wa kitu gani?

Haya ni madhara ya copy and paste bila kuedit.

Kanisa katoliki halina Askofu mkuu wa Tanzania, kila Askofu ni mkuu kwenye jimbo lake na ana mamlaka kamili.

KKKT waondowe Askofu mkuu wa nchi nzima wabaki maaskofu wa majimbo wenye mamlaka kamili kwenye majimbo yao.

Dhambi ya Uprotestant inawatafuna.
Ooh yes, I concur with you 100%!!

Waondoe title ya Mkuu wa KKKT na waunde Baraza la Maaskofu la KKKT.
 
Back
Top Bottom