Raia Mwema: Aliowatema Hayati Magufuli warejeshwa tena

Nazidi kuamini..ssh aliishi kinafiki na jpm..ilikua ni suala la muda tu kuonyesha rangi yake halisi..hizi siasa za bongo inabidi uwe pungua ndio uziishi.

#MaendeleoHayanaChama
ukweli mtupu...... ila na yeye yatamrudia Karma sio kitu cha kuchezea,mambo yatamgeuka soon or later time will tell....
 
Hapo KWA mhandisi Mramba maza kafanya jambo la maana Sana. Yani Jiwe alikuwa katili. Alimtimbua akiiwa anakula krismas na familia yake moshi KWA aibu

..mimi niko curious na Alphayo Kidata.

..alikuwa balozi Canada halafu akarudishwa nchini na kuvuliwa hadhi ya ubalozi.

..baada ya hapo alipewa demotion na kupelekwa kutumikia mikoani.

..sasa hivi ameteuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa TRA.

..najiuliza alipokuwa balozi Canada alifanya kosa gani?
 
Alikuwa akimtumia hawara ya Jiwe AK sms za mapenzi.
 
Makonda, bashiru na komredi polepole wakirudishwa itapendeza sana hata kukifanya chama kuwa imara zaidi kikiwa kimoja bila vipandevipande
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom