Ninamjua huyu bwana Jina lake ni Cornad Mlingi...Mchagga wa Kirua Vunjo Moshi! Aliwahi kupata matatizo ya akili kwa vipindi viwili tofauti though alikuja ku-recover but who knows? R.I.P bro Cornad though hakuan fantasy way ya kuondoka duniani ila yako imetuachia maswali mengi!
Unajua nini mpwa, kuna mkaka alifariki, tukaenda kumuona mochwari, mie nikamgusa eneo nyeti nikakuta uume umesimama wima, nikauliza, wakasema eti sababu alijinyonga.
Hebu ulizia kwa wenzako huko.
Nasikia, nimesema nasikia mwanaume akijinyonga eti uume unasimama!
Hivi ni kweli.
Uchunguzi wa kina ufanyike. Matukio mengi watu wanauawa na kisha kutundikwa kwenye miti. Raia wavivu wa kifikiri huja na conclusion rahisi kwamba mtu amejinyonga. Ulimuona wakati anajitundika?
Kinachotakiwa hapo ni kusema MTU AMEKUTWA AKINING'IA KWENYE MTI.
Uchunguzi wa kijinai wa Polisi makini ndio utakaotoa jibu la kilichotokea.
Ujinga wetu ndio hatma yetu.
Hivi unajua ukiwa na kiu ukiangalia mbalii unaona kama kuna maji?
mhhh kwanini ulimshika huko??its common kwa case zinazohusisha violent, au quick deaths kupata hiyo kitu au wanaopata kifo kutokana na spinal injuries...hata wanawake wanaokufa hivyo kinembe kinadinda na mashavu yanavimba
Uchunguzi wa kina ufanyike. Matukio mengi watu wanauawa na kisha kutundikwa kwenye miti. Raia wavivu wa kifikiri huja na conclusion rahisi kwamba mtu amejinyonga. Ulimuona wakati anajitundika?
Kinachotakiwa hapo ni kusema MTU AMEKUTWA AKINING'IA KWENYE MTI.
Uchunguzi wa kijinai wa Polisi makini ndio utakaotoa jibu la kilichotokea.
Ujinga wetu ndio hatma yetu.
Wangejisumbua iwapo angekua mtu mzito lkn kwa huyu sijui. Natamani police wa Enzi zileeeeeMkuu, Hoja yako ni Muafaka. tatizo ni hao watu Uliotaja hapo. Unadhani watakuwa tayari kujisumbua kutafuta jibu la Kweli wakati Jibu rahisi lipo Mbele ya Macho yao??...mmmm, Sidhani.:A S 39: