Raia ajinyonga kwa kamba mjini Morogoro

Raia ajinyonga kwa kamba mjini Morogoro

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
[h=2][/h]

1.png
Mtu ambaye jina lake halikufahamika mara moja amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro.Chanzo cha mtu huyu kujinyonga hakijafahamika.

Askari aliyekuwepo eneo la tukio alidai kwamba askari wa doria waliokatiza kwenye eneo hilo majira ya saa 10 usiku walishuhudia mwili wa mtu huyo ukining'inia juu ya mtu na kuanza juhudi za kuutoa mwili huo.
_MG_2537.JPG

Askari akipanda juu ya mti kwaajili ya kuushusha mwili wa marehemu.
_MG_2542.JPG
_MG_2548.JPG


 
Inasikitisha sana duh masikini sijui nini kilikua kimemsibu hata kuamua kuchukua uamuzi huu. Tujenge mazoea ya kuzungumza na wenzetu yale tunayoona ni magumu kwetu pengine na wao wanapitia hayohayo. Tukumbuke kujiua sio suluhisho bali ni mwanzo wa mgogoro mwingine.
 
Ni ngum kufikia uamuzi kama huu
kuna jamaa jiran na kwetu alijiua hivihivi kisa mkewe aliwasaidia kaka zake ambao inasemekana ni wezi
 
Nasikia, nimesema nasikia mwanaume akijinyonga eti uume unasimama!
Hivi ni kweli.
 
Hahahaaaas Mpwa ntakuavhia namba yangu ya simu tuwasiliane, k ok nadhani hakuna ukweli wowote, but sijui jamani.

Unajua nini mpwa, kuna mkaka alifariki, tukaenda kumuona mochwari, mie nikamgusa eneo nyeti nikakuta uume umesimama wima, nikauliza, wakasema eti sababu alijinyonga.
Hebu ulizia kwa wenzako huko.
 
Madame kulikoni umguse sehemu nyeti maiti?
Unajua nini mpwa, kuna mkaka alifariki, tukaenda kumuona mochwari, mie nikamgusa eneo nyeti nikakuta uume umesimama wima, nikauliza, wakasema eti sababu alijinyonga.
Hebu ulizia kwa wenzako huko.
 
Ninamjua huyu bwana Jina lake ni Cornad Mlingi...Mchagga wa Kirua Vunjo Moshi! Aliwahi kupata matatizo ya akili kwa vipindi viwili tofauti though alikuja ku-recover but who knows? R.I.P bro Cornad though hakuan fantasy way ya kuondoka duniani ila yako imetuachia maswali mengi!
 
Nilitaka kusema amenyongwa akatundikwa
 
Unapoona mambo yamekuzidi jitahidi kupata ushauri nasaha kutoka kwa ndugu na jamaa wa karibu yako kuliko kuchukua uamuzi wa kujitoa uhai kama hivi.
 
Back
Top Bottom