Raia 800 kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waingia nchini kuomba hifadhi

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,512
Zaidi ya raia mia nane wengi wao wakiwa ni watoto na wanawake kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameingia nchini katika wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma kuomba hifadhi ya ukimbizi wakidai kukimbia vita ya wenyewe kwa wenyewe.

ITV
 
Back
Top Bottom