Rai yangu kwa watanzania kupitia JF

Mi nalia na UDINI,honestly unanikera mno,awe mtu yeyote,anaeikashifu dini yeyote
halafu kuna mambo now ni very serious kwa future ya taifamfano hii eat africa unification inayokuja...but ukikuta thread zinazohusu east safrica issues,huoni kabisa watu wakichangia sanaitatu cost nionavyo mimi
 
Mi nalia na UDINI,honestly unanikera mno,awe mtu yeyote,anaeikashifu dini yeyote

actually kabla sijajiunga na jf nilifikiri jukwaaa la dini ni maalumu kwa wanaotaka ufafanuzi wa masuala ya kiimani

mfano we muislamu,una maswali kuhusu imani yako
unakuja jukwaa la dini,unamwaga maoni yako,halafu wajuzi zaidi wanakupa msaada

but nilivyokuja hapa jf nimekuta tofauti mno..
yaani kama tuko kwenye mihadhara ya kariakoo ya dini...
ni ushabiki na matusi tu,
verysad kwa watu unaofikiri wameelimika kidogo
 
Hakuna watu hovyo wanaoharibu jamvi kama moderators,hamjui tu.Kutoa bans sio suluhisho hata kidogo tena hizi bans za siku hizi ni kama kamchezo fulani tu unaban mtu anaingia na ID nyingine.Mods wanaona kama ban ni suluhisho.

Mmenikumbusha mmbunge mmoja aliwahi kusema bungeni bungeni kwao wapanue gereza eti wezi wamezidi.Bogus kabisa so hata hapa mkiongeza bans hata mpe mtu server ban kwa taarifa yenu ataingia tu na kama kaajiliwa kuja kutetea mafisadi JF ataingia na atafanya kazi yake.

Solution.
Ukiona viroja jibu hoja,ukiona hoja za dini weka zako za siasa,kwa kifupi jibu hoja kwa viroja mwisho wa siku wenye viroja watakimbia wenyewe.
 
actually kabla sijajiunga na jf nilifikiri jukwaaa la dini ni maalumu kwa wanaotaka ufafanuzi wa masuala ya kiimani

mfano we muislamu,una maswali kuhusu imani yako
unakuja jukwaa la dini,unamwaga maoni yako,halafu wajuzi zaidi wanakupa msaada

but nilivyokuja hapa jf nimekuta tofauti mno..
yaani kama tuko kwenye mihadhara ya kariakoo ya dini...
ni ushabiki na matusi tu,
verysad kwa watu unaofikiri wameelimika kidogo
Mkuu kwa uchache piga ua garagaza hata siku moja hizo dini zenu huwezi kukaa eti waelewane kwa kuwa mafundisho yao hayashabiani hata kidogo.Huyu anasema Yesu ni Mungu huyu anapinga,wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom