Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Naona unaongea kirahisi rahisi tu!

Hivi wewe MSALANI ni nani? ndo ninyi mliotumwa ku deal na posts zote za JF na mitandao mingine nini?
Siyo Bure!!, nenda Rumumba basi ukachukue ile buku 7, tumekuchoka, huna hata kazi ya kufanya wewe ni kuiponda CDM tu
 
Huyu ni div 5! Hata Jina lake hawezi kuandika! "Kamnda' ndio nini?

Wewe ulitaka aandikaje? Kumbuka hilo ni jina tu..... Na huo unaweza kuwa ndio usahihi wa jina analolitaka yeye. Be a great thinker per forum. Kuna wakati inabidi kuruhusu kichwa kufikiri nje ya box na sio chini ya box.....
 
Kamanda mawazo happy new year,zitto kwisha habari yake.
 
Mtei Kasema Zitto hatakiwi CHADEMA, sisi tunafikiria tunamtoaje wewe unasema tutawanyike tukajenge Chama, Unachekesha sana.

Kwa akili yako Zitto anatolewa kwenye keyboard siyo, hovyo kabisa.
 
Safi sana Kamanda Mawazo kwa maono yako katika suala la kuijenga Chadema kila sehemu ukizingatia tunaingia kwenye Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa na kuachana na Propaganda za vijiweni kuhusu Zitto Kabwe na wenzake.

Rai yangu kwa wanachadema wote inabidi muelekeze nguvu zenu katika kuimarisha misingi imara ya kukijenga katika ngazi za chini ili muweze kupambana vizuri na Ccm 2015.

Kwa watanzania wote yatupasa sasa kuanza kujadili masuala ya msingi katika nchi yetu kama vile kupanda kwa Bei ya umeme na mfumuko wa bei unaochangia hali ngumu ya maisha kuhusu nini kifanyike. Tuache kujadili masuala sijui ya Zitto Kabwe kwani hayana msingi wowote katika Nchi hii na ni Propaganda tu za kututoa kwenye kujadili masuala muhm yanayoikumba nchi yetu.

Chadema I will see you In 2015 when you reach there, See you In Ballot Box when you reach there....!!!!!
 
Nilishasema humu, kazi ya Kamanda Mawazo tangu aingie kwenye chama miaka miwili tu, inazidi muda wote wa Zitto aliokaa kwenye chama. Zitto kazi yake kubomoa walikojenga wenzake, nasikia ana mtandao Geita ambako kamanda Mawazo amekuwa akipambana kupajenga!
 
Hivi wewe MSALANI ni nani? ndo ninyi mliotumwa ku deal na posts zote za JF na mitandao mingine nini?
Siyo Bure!!, nenda Rumumba basi ukachukue ile buku 7, tumekuchoka, huna hata kazi ya kufanya wewe ni kuiponda CDM tu

unaweza kukiponda chama kwa nia ya kukirekebisha kuondoa udhaifu,tatizo watu hatupendi kuambiwa side b ya vyama vyetu bali kutaja udhaifu wa wenzao.Mungu humpandisha na kumshusha amtakaye chadema mliipenda ila Mungu ameipenda zaidi.
 
fal.a wewe

Naona hata huo bado ni mdogo kwake.. Jamaa ni puruzai kabisa.. Hivi yeye ni nani mpaka ajione ana uwezo wa kuhukumu uzi kama ni mbaya..? Yaani kwa buku 7 zao wanaona wana haki ya kutapika lolote hawa.. verdammt..
 
Kama unakaa mjini kalaga bao. Bendera zinapepea vijijini wewe unasema inajulikana mjini. Angalia records zako kama Chadema ingekuwa inajulikana mjini basi Dar wabunge wake wote wangekuwa Chadema. Lakini badala yake wametokea majimbo ya vijijini kwa Wasukuma, Kwa Wakerewe, Kwa Wazinza na Wasubi Kwa Nyakyusa na Wahehe, Kwa Wabulu na Wairaq

CHADEMA inajulikana mijini tu, tena sio miji yote, acha kutufunga Kamba!
 

mawazo unafanya kazi nzuri sana kamanda..nimepoteza namba yako nipm nikuongezee pesa ya mafuta...
 
Wewe ni mmoja kati ya wanasiasa wachache sana nchini mwenye heshima na mchango mkubwa kwa CHADEMA na Tanzania. Ki ukweli nimetokea kukuheshimu na kukuthamini Bw. Alphonce.

Naamini rai yako itazingatiwa na kutekelezwa na kila mmoja wetu. Endelea na kazi Kamanda Mawazo.
 
Yakiisha ya zito na mbowe yatafata ya slaa na mbowe,then lisu na mnyika etc
 
Mtei Kasema Zitto hatakiwi CHADEMA, sisi tunafikiria tunamtoaje wewe unasema tutawanyike tukajenge Chama, Unachekesha sana.

Hiyo kazi ya kamati kuu,baraza kuu na wanasheria wetu.sisi tupigeni kazi tu vijijini kuweka misingi! zitto alishajimaliza mwenyewe alipokubali kuhongwa na kutumika,makamanda mwacheni awe mbunge wa mahakama! mashabiki wake wawe maccm kama hili liCHOO aka msalani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…