Alphonce Mawazo
R I P
- Sep 10, 2013
- 335
- 478
Zitto ameshafukwa, chapa kazi kamanda. Mambo ya mahakama waachie wa mahakamaniNimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.
vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na
kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine
tutawanyike tukajenge chama.Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko
yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya
kuwashughulikia,acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili
uundaji wa misingi.Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.

CHADEMA inajulikana mijini tu, tena sio miji yote, acha kutufunga Kamba!
Mtei Kasema Zitto hatakiwi CHADEMA, sisi tunafikiria tunamtoaje wewe unasema tutawanyike tukajenge Chama, Unachekesha sana.
Kamanda Mawazo samahani hivi Chadema wanakulipa?Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na
kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine
tutawanyike tukajenge chama.Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko
yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya
kuwashughulikia,acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili
uundaji wa misingi.Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.
Kwi kwi kwi mtatoaje CCM au Msalani? Poleni gamba lenu hiloo watu wameshalishtukia wameandaa shokaMtei Kasema Zitto hatakiwi CHADEMA, sisi tunafikiria tunamtoaje wewe unasema tutawanyike tukajenge Chama, Unachekesha sana.
Well said Mkuu ......
Ninatokea jimbo la Kigoma Kaskazini (Matyazo - Kalinzi) lakini sikubaliani na siasa tata za Mbunge wangu. Last time nilipotembelea kijijini kwetu watu wengi walionyesha kutomwamini mbunge wetu huyu.
Anyway,... keep going Kamanda you have all our support.
Naona unaongea kirahisi rahisi tu!