Rai kwa wabunge wote na viongozi wengine wa Upinzani nchini kuelekea 2020!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Nataka niwaambieni wabunge,Madiwani na viongozi wengine wote wa serikali za mitaa kutoka vyama vya upinzani nchini kua kuna uwezekano 100% kufikia 2020 hakuna ambaye atarudu kwenye nafasi yake ya kuchaguliwa na wananchi, hilo mkae mkilifahamu na wala halina ubishi.Si kua hamtarudi kwa sababu mtashindwa, hapana! Mtachaguliwa lakini hamtashinda na hamtatangazwa washindi.

Mungu alikua na makusudi makubwaa sana kutuonesha halihalisi kwenye chaguzi ndogo hizi za marudio. Hivyo hii mdio picha halisi ya kuelekea mwakani 2019 kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2020.

Niwaombe ndugu zangu wote kwa umoja wenu kutoka upinzani, kaeni mkilitafakari hili na maamuzi ni yenu kurudi au kutorudi kwenye nafasi zenu. Ni bahati mbaya sana, kuna uwezekano mkubwa 2020 hata bunge likawa chama kimoja na huo ndio ukweli mwenyewe.

Kataeni dhulma hizi, pazeni sauti kwa kuungana na wananchi mnaowaongoza muieleze nchi na dunia kua taifa letu linaendeshwa kwa misingi ya kidemokrasia.
 
Maandalizi makubwa yaliyofanywa na jeshi la polisi ya kukusanya askari toka wilaya zote za Dar. na kauli zilizokuwa zikitolewa na jeshi hilo kuhusu uchaguzi badala ya tume, ilikuwa ni dalili tosha kuwa polisi walikabidhiwa jukumu la kuendesha uchaguzi.
 
Nataka niwaambieni wabunge,Madiwani na viongozi wengine wote wa serikali za mitaa kutoka vyama vya upinzani nchini kua kuna uwezekano 100% kufikia 2020 hakuna ambaye atarudu kwenye nafasi yake ya kuchaguliwa na wananchi, hilo mkae mkilifahamu na wala halina ubishi.Si kua hamtarudi kwa sababu mtashindwa, hapana! Mtachaguliwa lakini hamtashinda na hamtatangazwa washindi.

Mungu alikua na makusudi makubwaa sana kutuonesha halihalisi kwenye chaguzi ndogo hizi za marudio. Hivyo hii mdio picha halisi ya kuelekea mwakani 2019 kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2020.

Niwaombe ndugu zangu wote kwa umoja wenu kutoka upinzani, kaeni mkilitafakari hili na maamuzi ni yenu kurudi au kutorudi kwenye nafasi zenu. Ni bahati mbaya sana, kuna uwezekano mkubwa 2020 hata bunge likawa chama kimoja na huo ndio ukweli mwenyewe.

Kataeni dhulma hizi, pazeni sauti kwa kuungana na wananchi mnaowaongoza muieleze nchi na dunia kua taifa letu linaendeshwa kwa misingi ya kidemokrasia.
Kwa kuwa kuna kauli ya kuwa Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa ni mshindi hataeleweka,ni vizuri na kwa nia njema vyama vya upinzani vikajitoa kabisa katika chaguzi zote kuanzia za 2019 mpaka uchaguzi mkuu wa 2020.Chama tawala kishiriki uchaguzi huo peke yake ili ieleweke kuwa hakuna upinzani.
 
Back
Top Bottom