Raha ya usafiri wa umma Vs usafiri binafsi

Nyamboboy

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
362
Reaction score
458
Habari za muda huu ndugu zangu,

Leo nina machache kuhusu usafiri binafsi. Zamani kipindi nasoma shule/chuo na hata baada ya kupata kazi nilikuwa natumia sana usafiri wa jumuia(umma).

Miaka michache iliyopita nimechukua usafiri wangu binafsi ila sipati ile raha niliyokuwa napata kipindi cha usafiri wa umma.

Kwanza nakumbuka nilikuwa nikifika stendi kwenye gari ninalotaka namuuliza konda kama kuna nafasi na lazima hiyo nafasi awepo msichana(mzuri) pembeni ili kuweza kunogesha safari.

Nakumbuka kipindi hicho natoka Dar naenda Bukoba safari unatamani isiishe,tukifika Kahama tunachukua chumba kimoja maisha full mstarehe dahhh.

Sasa hivi nakomaa mwenyewe kwenye gari langu ukizingatia hata familia bado hadi nafika njiani naanza kuomba watu wakunipa company kwenye ndinga yangu halafu safari haionogi kabisa.

Wale wenye usafiri binafsi huwa mnaepuka vipi huu upweke wa njiani?
 
Kwenye usafiri wa umma huwa napata wasaa mzuri sana wa kuona uumbaji.

Kuna watoto wameumbwa wakaumbika utafiri walikanda wenyewe udongo wao.
 
Habari za muda huu ndugu zangu,

Leo nina machache kuhusu usafiri binafsi. Zamani kipindi nasoma shule/chuo na hata baada ya kupata kazi nilikuwa natumia sana usafiri wa jumuia(umma).

Miaka michache iliyopita nimechukua usafiri wangu binafsi ila sipati ile raha niliyokuwa napata kipindi cha usafiri wa umma.

Kwanza nakumbuka nilikuwa nikifika stendi kwenye gari ninalotaka namuuliza konda kama kuna nafasi na lazima hiyo nafasi awepo msichana(mzuri) pembeni ili kuweza kunogesha safari.

Nakumbuka kipindi hicho natoka Dar naenda Bukoba safari unatamani isiishe,tukifika Kahama tunachukua chumba kimoja maisha full mstarehe dahhh.

Sasa hivi nakomaa mwenyewe kwenye gari langu ukizingatia hata familia bado hadi nafika njiani naanza kuomba watu wakunipa company kwenye ndinga yangu halafu safari haionogi kabisa.

Wale wenye usafiri binafsi huwa mnaepuka vipi huu upweke wa njiani?
Private car is only for emergence
 
comments za watanzania wanazozipenda mengine hawajui kabisa
 
Habari za muda huu ndugu zangu,

Leo nina machache kuhusu usafiri binafsi. Zamani kipindi nasoma shule/chuo na hata baada ya kupata kazi nilikuwa natumia sana usafiri wa jumuia(umma).

Miaka michache iliyopita nimechukua usafiri wangu binafsi ila sipati ile raha niliyokuwa napata kipindi cha usafiri wa umma.

Kwanza nakumbuka nilikuwa nikifika stendi kwenye gari ninalotaka namuuliza konda kama kuna nafasi na lazima hiyo nafasi awepo msichana(mzuri) pembeni ili kuweza kunogesha safari.

Nakumbuka kipindi hicho natoka Dar naenda Bukoba safari unatamani isiishe,tukifika Kahama tunachukua chumba kimoja maisha full mstarehe dahhh.

Sasa hivi nakomaa mwenyewe kwenye gari langu ukizingatia hata familia bado hadi nafika njiani naanza kuomba watu wakunipa company kwenye ndinga yangu halafu safari haionogi kabisa.

Wale wenye usafiri binafsi huwa mnaepuka vipi huu upweke wa njiani?
Hongera mkuu kwa kununua gari
 
Una gari ya aina gani ili tukupe kongole ya heshima ewe muhaya?
 
Wahaya bhana
 
Back
Top Bottom