kwene picha nilioeka kuna chinese cabbage kwene supu.. binafsi nachohofia ni upandaji wa hizi mboga, nahisi wanatumia mbolea za viwandani..au mbolea za samadi za makuku na mang'ombe yaliolishwa mikemikali..nifikiria kuanza kuotesha mboga zangu mwenyewe organically before it is too late.Nyie watu mbona mboga za majani hakuna kabisa kwenye hizi menu zenu au mnataka mpaka nije niwaandakie kuwa ule msosi ambao 50% ya msosi wako iwe mboga na matunda, then 50% inayobaki icomplise aina za diet nyingine, hebu acheni sedentary life hizo mtakufa na maheart disease bure.
Safi sana. Fat FreeView attachment 67010
Hiyo ndio typical dina ya nanihii..
Cku akiamua kupika huwaga ni chapati 2 za Azam + supu ya lamb chop & mchanganyiko wa chinese cabbage, nyanya, pilipili hoho, pilipili kali, kitunguu, spices, chumvi + maziwa kidogo.
Halafu unamaliza Windhoek 2 baridi sana..
Life can't be better..
kwa kifupi ubachela ni raha,
ila hapo kwenye misosi ndio huwa naumiza sana kichwa,
sipendi kula mgahawani na kupika vilevile mvivu ! ndio hapo chahcha kichwa kinaponiuma!
kweli maswala ya misosi ndio yatanifanya nivute jiko fwasta,
Itabidi uwe muangalifu sana...vinginevyo atakwambia mie hata kupika chai ya rangi sijui...tuajiri house girl anayejua kukaangiza.
Itabidi uwe muangalifu sana...vinginevyo atakwambia mie hata kupika chai ya rangi sijui...tuajiri house girl anayejua kukaangiza.
Best sikuwezi. Chai ya rangi ya kukaanga? Hehehe.
kweli umesema mkuu, watoto hawa wa kulelewa na mabeki 3 , kila kitu anafanya beki3, i wish nioe anayejua kupika
Abdulhalim, ubachela una mwisho bwana. Vuta jiko mkuu au bado upo upo sanaaa??!!
NB: Chapati kama hizo nazipenda kwa beef stew au ndondoz..
belinda umennena vyema mwambie huyo mathematics kwani atavuta jiko hebu vuta jiko wewe ondoka huko ubachelani