"Raha" ya Ubachela

Abdulhalim

Platinum Member
Joined
Jul 20, 2007
Posts
17,216
Reaction score
3,126

Hiyo ndio typical dina ya nanihii..
Cku akiamua kupika huwaga ni chapati 2 za Azam + supu ya lamb chop & mchanganyiko wa chinese cabbage, nyanya, pilipili hoho, pilipili kali, kitunguu, spices, chumvi + maziwa kidogo.
Halafu unamaliza Windhoek 2 baridi sana..
Life can't be better..
 
Mh aisee ata mi nimekuzidi...!!! badlibadili mapishi bana....
 
Kutumia vijiko 2 ktk bakuli 1 la supu ni kosa linalosababisha maambukizi!! Mgonjwa ya kinywa, n.k
 
ndo maaana vijana wa ck hizi kazi hamuwezi!!:A S embarassed:
sio kila mtu ni muabudu ngono(binafsi napenda companionship & quality sex sio quantity)..vilevile sie wengine tuna hobi zetu na tunamentein figa vilevile na wala sio watu wa bara wa kufakamia ugali usubuhi..ushanpata eenh??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…