Raha ya tuk tuk

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444

Ukiwa umepakia mshikaki kama hivi dah na upo kilaji mbona Chuda jirani.

Hapo ukumbatiwe na binti dah unaweza ukaona speed ya 120 ndogo

Tuk tuk inaraha zake jamani.
 
Ukipakia mijimama ya haja kwa tukutuku huwa zinapinduka
 
imeandikwa " Limtokalo mtu kinywani ndilo limjazalo moyo"
 
Alafu linakushika kiunoni mbona raha mm nikipakia speed ya chini ni 100 maana napata mzuka balaa

Fidel leo, nina wasiwasi na akili yako.
Vipi, umemeze Klorokwini nini!!!!
 
Ukiwa umepakia mshikaki kama hivi dah na upo kilaji mbona Chuda jirani.

Hapo ukumbatiwe na binti dah unaweza ukaona speed ya 120 ndogo

Tuk tuk inaraha zake jamani.

Mkuu, hapo kwenye red naona kama ni hatari kwa tuk tuk
 
Ukiwa umepakia mshikaki kama hivi dah na upo kilaji mbona Chuda jirani.

Hapo ukumbatiwe na binti dah unaweza ukaona speed ya 120 ndogo

Tuk tuk inaraha zake jamani.

Mkuu
Huu sio mshikaki ni muhindi LIVE
Naona mme-concetrate juu tu, hebu tazameni vizuri walivyobebana kwenye miguu.
Teamo anaweza akatuambia vizuri kama hii ni 2D view au 3D view!
Maana kama ndio jimama ndo limekukalia mbele kama alivyokaa huyo jamaa hapo mbele, halafu jimama awe amevaa kimini ambacho kwa mkao huo lazima kisogee juu zaidi, na ndani kavaa skin tait nyepesi halafu mpo kwenye rough road mnanesa nesa huku jimama nalo likinesa nesa mbele yako itasababisha . . . . . . . . .
 
Ahahahahahaaaaah!!! Dah!!
 
Hahahaha upite njia una mashimo mashimo kama ile ya kutoka Wazo hill kuja kutokezea Temboni mbona kama upo Chuda vile.

Unapotea njia halafu unarudi tena Wazo hill kuanza safari upya. weweeeee
 
Mkuu
Huu sio mshikaki ni muhindi LIVE
Naona mme-concetrate juu tu, hebu tazameni vizuri walivyobebana kwenye miguu.
Teamo anaweza akatuambia vizuri kama hii ni 2D view au 3D view!
Maana kama ndio jimama ndo limekukalia mbele kama alivyokaa huyo jamaa hapo mbele, halafu jimama awe amevaa kimini ambacho kwa mkao huo lazima kisogee juu zaidi, na ndani kavaa skin tait nyepesi halafu mpo kwenye rough road mnanesa nesa huku jimama nalo likinesa nesa mbele yako itasababisha . . . . . . . . .

Hahahahahaha jimama linawekwa nyuma mkuu

Likikaa mbele mbona litakuziba mbele na unaweza jikuta upo Moi
 
ingekuwa bongo halafu ni jike na dume ndio imekaa hiyo mikao ya kula lazima wa2 wangekuwa wanachafua suruali zao.
 
Back
Top Bottom