Raha ya tendo husika

Wanajamvi mupooooooooo!

Najisikia kuwashirikisha jambo but sorry kwa wenye mapepo ya kukwazika wapite mbaliiii.

Raha ya tendo la ndoa ufanye na.....

1. unayempenda,

2.tena u nae mfeel,

3.Aliyesumbuka kukupata.

4.Anayejua shughuli husika,

5.Anayejali hisia zako,

6.Anaekuthamini,

7.Asie mbinafsi,

8. msafi
.....
Waweza ongeza nawewe..

Kwa hili, nakubaliana na wewe 100% isipokuwa hapo kwenye RED.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom