Raha ya tendo husika

Raha ya tendo husika

Nimeanza tangu nilipokuwa mwaka wa pili chuoni

Bado huwezi kuitwa mkongwe nitarudi kujazia haya~
Ukipigwa na umpendae sema asante.
Ukisikia mumeo anatoka na HG usikasilike mwambie kwa Upendo ni style gani amejifunza huko.
Akilala nje kesho akirudi kwako muulize njozi gani aliota.
Lakini haya yote nitajazia pindi pale tu utakapokuwa mkongwe.
Ahsante
 
Wanajamvi mupooooooooo!

Najisikia kuwashirikisha jambo but sorry kwa wenye mapepo ya kukwazika wapite mbaliiii.

Raha ya tendo la ndoa ufanye na.....

1. unayempenda,

2.tena u nae mfeel,

3.Aliyesumbuka kukupata.

4.Anayejua shughuli husika,

5.Anayejali hisia zako,

6.Anaekuthamini,

7.Asie mbinafsi,

8. msafi
.....
Waweza ongeza nawewe..
Ushatoka kazini?
 
Namba tatu inaweza isiwe criteria sana.... Maaaana ina different perspective.
 
Wanajamvi mupooooooooo!

Najisikia kuwashirikisha jambo but sorry kwa wenye mapepo ya kukwazika wapite mbaliiii.

Raha ya tendo la ndoa ufanye na.....

1. unayempenda,

2.tena u nae mfeel,

3.Aliyesumbuka kukupata.

4.Anayejua shughuli husika,

5.Anayejali hisia zako,

6.Anaekuthamini,

7.Asie mbinafsi,

8. msafi
.....
Waweza ongeza nawewe..
Umesahau...mwenye mbegu za baridi au vuguvugu zisizounguza.
 
Wanajamvi mupooooooooo!

Najisikia kuwashirikisha jambo but sorry kwa wenye mapepo ya kukwazika wapite mbaliiii.

Raha ya tendo la ndoa ufanye na.....

1. unayempenda,

2.tena u nae mfeel,

3.Aliyesumbuka kukupata.

4.Anayejua shughuli husika,

5.Anayejali hisia zako,

6.Anaekuthamini,

7.Asie mbinafsi,

8. msafi
.....
Waweza ongeza nawewe..

Monica unanifanya sasa nikutafakari kwa kina kwa maana kama sikosei ulikuja na Topics hizi:

1. Ndoa siku ya Nne (=96 Hours) tu una enjoy, kitu ambacho niliona ni maajabu ya kutoa tathmini ya ndoa mapema hivyo.

2. Mbegu za Mumeo zinakuchoma.

3. Leo tena Raha ya ndoa....

Any way, hebu njoo PM nami nikusaidie kwa hakika, I promise nitakutendea haki bila dhihaki.Fanya mapema nikusaidie kupata Tiba Halisi ya maradhi yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom