RAHA YA MAPENZI UMPENDAE AIJUE THAMANI YAKO.

RAHA YA MAPENZI UMPENDAE AIJUE THAMANI YAKO.

Man Middo tz

Senior Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
182
Reaction score
280
Je unathaminishaje thamani ya mapenzi uliyonayo je ni..

1. KWA PESA
2. KWA UJUZI AU MAARIFA YA MTU WAKO
3. JE NI KWA KIPAJI (Mcheza mpira, msanii nk)
4. KWA CHEO AU KAZI YA MWENZA WAKO
5. KWA UFUNDI KITANDANI.

Kama thamani ya mapenzi yako yamethaminishwa kwa hayo mambo hayo juu, Je mwenza wako anajali UTu wako au kwasababu ya pesa zake, cheo chake, kipaji chake na kazi yake anajua hata akufanyie nini huwezi kuondoka au kufanya chochote.

Tujifunze kuthamin Utu katika mahusiano na bora zaidi tujjali uwepo wa Mungu , Mtu anayejali kitu kuliko utu daima sio mtu. Acha kuishi mapenzi ya rehani kwa kuangalia pesa angalia thamani yako ili upate raha ya mapenzi.

RAHA YA MAPENZI UMPENDAE AIJUE THAMANI YAKO.
1671461554986.jpg
 
Back
Top Bottom