Raha ya mapenzi kupendwa na si kupenda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raha ya mapenzi kupendwa na si kupenda.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIBURUDISHO, Jan 12, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Kama wewe si mgeni katika mapenzi utakubaliana na mimi kuwa siku zote raha ya mapenzi ni kupendwa lakini si kupenda.Maana hebu angalia ikitokea umempenda demu/men wewe unayependa muda wote huwa hauko huru ila ikitokea unafahamu kuwa unapendwa huwa unakuwa na faraja sana moyoni tofauti na yule anayependa.
   
 2. salito

  salito JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  kupenda pia kuna raha yake,maan ukiwa n umpendae ni burudani kubwa sn...n zaidi utayaenjoy sn mapenzi!
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Owwwkeeey.
   
 4. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  sidhani kama nitaenjoy kupendwa na nisiyempenda, kwahiyo mi naona it has to be both ways
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  @Mrembo, hapo niko na mrembo tu...Wala simwachi mpaa anipende.
   
 6. w

  wamichosho JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Raha ya mapenzi nyote mpendane na si mapenzi ya upande mmoja
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Vyote vina raha yake
   
 8. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  kwa kweli siwezi kufurahia mapenzi ya upande mmoja, lazima tupendane wote
   
 9. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ukipendwa na usiyempenda ni karaha tupu..
   
 10. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hakuna raha kwa mapnz ya upande mmoja!raha ni wote kupendana!
   
 11. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mapenzi huwa yana-expire. Hali huwa ni mbaya mno iwapo mmoja kati ya wapendanao expire date ikiwa imeshafika!
   
 12. Loreen

  Loreen Senior Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli ukipenwa na m2 umpendae kwa kweli mapenzi yanakuwa matamu mno!
   
 13. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,302
  Likes Received: 10,339
  Trophy Points: 280
  1. Kupenda ni utumwa
  2. Kupendwa ni kero
  3. Kupendana ni ujinga

  Hakuna chochote kizuri
   
 14. c

  christer Senior Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  leo vipi mbona hushereheshi mada.changia bwana
   
 15. c

  christer Senior Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  bora ujinga
   
 16. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  we mke/mme?
   
 17. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  thats too much being clingy.
   
Loading...