Raha na Maisha NI VITU viwili vitenganishwe, (utulivu na amani ya kweli ndio raha) wakati sabuni ya roho ni pesa. ukiwa na pesa maisha ni mazuri, kwa binadamu wa kawaida starehe ni sehemu ya raha na ni pesa hutumika kwa njia moja au nyingine laakini kwa maisha bora kinachotakiwa ni amani na utulivu wa akili na mwili kwa dhati. hiyo ndio tafsiri ya raha na maisha bora.