Raha ya kuwa single

Uyo aliweka nati iyo hapo alipo yupo hospital maumivu anayoskia ni siri yakee@all limeanza kuvimba
 
Hii ndiyo raha ya kuwa single, naamua ninachokitaka, narudi home muda ninaopenda na siulizwi na mtu. Nafanya ninachoweza siulizwi na mtu hata nisipokula home siulizwi nimekula wapi.

Sasa wewe kama upo na msichana usiniige mimi maana lawama sipendi.
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…