Raha ya kuwa CCM

Baada ya kupata per diem yao toka kwa Nape.

Bila shaka gharama za hoteli na chakula ni pembeni.

But kwa kazi gani wanayofanya? Maslahi ya nani hapo yanaendelezwa?
 
Hutu tujamaa tuwili tutampeleka kaburini babu jinsi tunavyompeleka puta, kaanza kuporomosha matusi siku hizi.
 
yani wanashow off kwa hela ya usaliti!!!!historia itawakumbuka hawa masalia
kwa yule binti sawa ana cha kutoa,huyu mtoto wa kiume ana hatari sana.
 
yani wanashow off kwa hela ya usaliti!!!!historia itawakumbuka hawa masalia
kwa yule binti sawa ana cha kutoa,huyu mtoto wa kiume ana hatari sana.
Na role waliyoikubali inawaharibia wao wenyewe political future.

Hakuna mwanasiasa aliyeibuka na kuwa maarufu kwa majitaka. Historia inatuonyesha hilo.
 
akifia kwa kunywa nguchu kwenye hilo bwawa utasikia chadema walimwaga sumu hapo na ninavyozijua siasa za tz kwa sasa hawa ni windo zuri kabisa kwa wang'oa kucha ili kuivuruga vizuri chadema wakati utatuambia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…