Raha ya kupenda upendwe

Ha ha ha ha hatari sana
Yaan, we achatu mkuu,

Hivi sis ambao tunajikaza kuwapenda wadada mbona hatupendwi jamaniiii!! Au ndo ule usemi usemao

"dont expect love in return..."

Sematu kiufupi inauma, alaf mbaya zaid mdada akishajua unampenda sana anao uwezo wa kuropoka maneno anayo jihisi mwenyewe kuyaropoka akiwa anadhani huna ujanja, anakua akidhani hakuudh cjuiii, kuuumbe mwanaume emeamua kutulia na kufocus mbele,, na mapenzi unakua umeyapa nafasi kwasababu kila binadam anayo haki ya kupenda na kupendwa pia.....


Ila mapenzi yanauma jamani, hivi wadada akiliyenu ikoje?? Mnatakaga nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusio na hulka ya mapenzi ya simu tutaachwa sana karne hii. Mtasababisha tuloweee kwa changudoa

Yaani kutuma msg, sijui whatapp, kupiga simu, hivyo vitu sipendelei, sio kwa mpenzi tu hata kwa yoyyote.
Naweza kwa zile za deal za hela, nazo huwa in short, maongezi yote ana kwa ana
 
Ninae wa hivi napata tabu mimi kumbe ndo tabia zenu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata akirudi na kukuambia nimepata matatizo kazini, sina ajira tena. Utampa pole na kufikira mfanye nini kuanzia mlipo.
Hizi ni baaadhi ya ups and downs za maisha. Sasa hata kama apepoteza kazi.... Maisha ni lazima yaendelee. Untaka mazuri tuu maishani kwani mabaya yawapate kina nani kila siku???? Sisi Binadamu tuu. Hizi ni changamoto za maisha. Atapambana atapata kazi tena. Mweza akupatiwa full support hata moral support pia atainuka tena..... Maisha yataendelea kama mwanzo na mapenzi moto moto zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…