Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,410
Hii kitu ilishantokeaga, kuna dada mmoja nlimpenda sana nkawa namuomba namba anakataa, nna pacha wangu hatufanani(fraternal twins) kuna siku alikuja kunitembelea akatuona pamoja, kilichofuata siku nliyokutana nae nilipomuomba namba aliniambia anataka namba ya yule kaka nliekua nae ametokea kumpenda sana bila ya yeye kujua n ndugu yangu/pacha, ilibid tu nimpe wakamalizana. Dah akaruka majivu akakanyaga moto haswa
Hatari sana.Hii kitu ilishantokeaga, kuna dada mmoja nlimpenda sana nkawa namuomba namba anakataa, nna pacha wangu hatufanani(fraternal twins) kuna siku alikuja kunitembelea akatuona pamoja, kilichofuata siku nliyokutana nae nilipomuomba namba aliniambia anataka namba ya yule kaka nliekua nae ametokea kumpenda sana bila ya yeye kujua n ndugu yangu/pacha, ilibid tu nimpe wakamalizana. Dah akaruka majivu akakanyaga moto haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
@MO11Veeery true, yaani unasoma msg zake huku unatabasamu, au ukimfikiria unajikuta tu unatabasamu. Hakuna feeling tamu kama hii duniani.
Dada kasema!Kweli kabisa penda unapopendwa usipopendwa achana napo
Nasikia wivu jamaniNinafurahia penzi la kweli
Ndio ndio Dada nimemalizaDada kasema!
Sawa dadaNdio ndio Dada nimemaliza
Video kolu hujambo?@MO11
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapenzi bwana!
Kupendwa raha jamani..... Najisikia Napendwa mpaka najiogopa .....😀Ukimpenda anaekupenda raha yake ni sawa na pepo ya dunia. Hela, sura mavazi ya gharama, havina nafasi kubwa kwenye mapenzi ya kweli.
Utatambua kuwa hili ulilonalo ni penzi la kweli pale unaposoma WhatsApp, Instagram, email au sms kutoka kwake. Ikaingia mpaka chini kabisa ya moyo, ukaanza kusmile na hutaki kuifuta. Baada ya shughuli unapanda kitandani unaifungua tena na kuisoma, unairudia mpaka unapata usingizi. Hapo ni kama mmoja wenu yuko safarini.
Raha ya mpenzi akiona ujumbe kutoka kwako aujibu, akichelewa kukujibu akueleze sababu. Mnaongea kila mnapopata nafasi, hata kama mnaongea ujinga.
Raha ya kupenda upendwe, penzi la kulazimisha linachosha.
He does much more than that babe..... I feel the L.O.V.E.😀Anafua hata pichu zako bila shida na always anakuletea nyumbani.
Sijambo jamaniii auntieVideo kolu hujambo?
Basi tuu yaaani, kuna muda siyaelewagi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yamefanya nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anafua hata pichu zako bila shida na always anakuletea nyumbani.
Ongeza sauti wote tuskie mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia wivu jamani
Ha ha ha I hope umenisoma lakini