HahaaaaYaani we jamaa...swali uliloulizwa na majibu tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahahaha auntie ebu acha kuniongopeaMsg za mpesa auntie.
Mbwembwe tu, aina ya Wanawake wa hivyo wamejaa tele mitaani, Ohio, Bigbone, Buguruni, makanisani, misikitini, masokoni, vyuoni, makazini, lkn wengi wao huishia kutumiwa tu ktk starehe wala si maisha.Kuna zipe moments mtanange umekolea hatariiii kisha unayachapa chapa vibao vile vya kimahaba phaaaahhh!.....phaaaahhhh!!!!.....phaaaaahhhhh!!!...kisha unakamatia kiuno nyigu unakuwa unakivutia kwako huku wewe ukikisogeza cha kwako mnakutania hadi unasikia kengele zikikigusa kiharage kwa chini huko, unabadili miondoko unaachilia kiuno unakaa mkao wa mshangao kwa mtindo wa umakini na ufundi wa hali ya juu ukihakikisha haichomoki yoote inaishia kichwa tu na kuirejesha kwa ndani..........
Nitarudi....
Kabisa mama angu hata kama mwembamba unajiona kibongeUkipenda unapopendwa hata kama vyuma vimekaza wewe unatabasamu.
Iko siku utaukumbuka huu upendo ambao unaukimbia now!...[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Elezea nje na point ya kidiniMbwembwe tu, aina ya Wanawake wa hivyo wamejaa tele mitaani, Ohio, Bigbone, Buguruni, makanisani, misikitini, masokoni, vyuoni, makazini, lkn wengi wao huishia kutumiwa tu ktk starehe wala si maisha.
METHALI 31:30 "Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa."
Sent using Jamii Forums mobile app
Elezea nje na point ya kidini
Sababu yao kubwa sana ni kutokuwa na maumbile kama waliyonayo wenzao hivyo automatically hutumia hiyo kama kinga/ silaha yao ya kuwafanya wakubalike na kuheshimika aidha kwa wao kujua au kutokujua hilo na wamewin sana katika hiloTabia ndicho kigezo namba 1 hasa kwetu Wanaume, hujiulizi kwanini wahuni wengi waliokula sana anasa wameoa Wanawake wa kawaida sana kimwonekano?
Au kwanini Wanawake wa kawaida sana ndiyo wengi wao huwa wako vzr kitabia, kiutendaji kazi makazini, ushauri, na hata ktk ndoa ndiyo wanaodumu muda mrefu sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa auntie hutaki au?Hahhahahaha auntie ebu acha kuniongopea
Love triangleHii ni hatari zaid unapendwa na usiempenda alaf kuna unaempenda hakupendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli kwa 100%, Mungu hakupi vyote Kaka, yani uwe na upeo, akili nzuri, maarifa, ulibwende/uzuri, elimu dunia ya juu, kazi na utajiri afu uwe wife material na tabia njema juu HAPANA/NO.Sababu yao kubwa sana ni kutokuwa na maumbile kama waliyonayo wenzao hivyo automatically hutumia hiyo kama kinga/ silaha yao ya kuwafanya wakubalike na kuheshimika aidha kwa wao kujua au kutokujua hilo na wamewin sana katika hilo
Natamani sana tujadili nje na imani ya dini(nina maana yangu)Si kweli kwa 100%, Mungu hakupi vyote Kaka, yani uwe na upeo, akili nzuri, maarifa, ulibwende/uzuri, elimu dunia ya juu, kazi na utajiri afu uwe wife material na tabia njema juu HAPANA/NO.
Mungu katumbia mapungufu kila Binadamu ili tuishi kwa kusaidiana, kushauriana, kuvumiliana na kusahihishana kitabia au mbali na hapo itafikia hatua mtu atajiona yeye ni Mungu kwa majivuno atayokuwa nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona mfilipinoVeeery true, yaani unasoma msg zake huku unatabasamu, au ukimfikiria unajikuta tu unatabasamu. Hakuna feeling tamu kama hii duniani.
Utanitak asasa nikishaona msg ya mpesa[emoji134][emoji134]Nakuona mfilipino
Utanitak asasa nikishaona msg ya mpesa[emoji134][emoji134]
Ila ni sahihi kwa sababu kila mtu ana haki ya kupenda, me huwa nkipenda nsipopendeka huwa naconsider hyo factor
[emoji1316][emoji1316][emoji1316] kuna wanawake mnajua kupenda, kwa nyuzi na koment zako zinaoneshaNinafurahia penzi la kweli