Kenya Police.Uganda ni shida!
Acha kujifanya mjanja,hizo ndo colours za Kenya Police Service,kwenye mkanda.Red,yellow,black.Mbona stesheni zote za polisi Kenya zimepigwa rangi hizo?Tafta picha za polisi wa uganda wanavaa black wengine brown wengine white.Huwa siwaelewi.Huoni mkanda aliovaa ni bendera ya Kenya hyo?
Ni sare ya Kenya, mkuu!Huoni mkanda aliovaa ni bendera ya Kenya hyo?
Maigizo hayo acting