KUCHEZA NA KUFURAI KUKO PALEPALE HAIJALISHI HATA KAMA TUNAUMASKIN!!!
Watoto wakicheza na kufurahi hata kama vifaa vyao sio vya kisasa lakini maisha yanaendelea.
Lakini mmi nimekumbuka mbali sana sana, yaani waliokuwa na uwezo wa kutengeneza hivi vifaa walikua wanasujudiwa na wenzao, sasa kule kwetu ili upande hiki lazima utoe makome au matunda yaliyo kwenye msimu kwa idadi utakayoambiwa na mwenye gari.. tuliita vifaa hivi KITOTORO AU APOLO
Hii ni bajaj au chombo kabisa cha tairi 4?
sasa breki inagongewa hapo pembeni ya tairi kwa chini kama ni mteremko mkali utasikia mlio kama wa treni vile maana ile breki inajikwaruzwa na tairi na ni mbao kwa mbao,. ila sehem tambarare huwa inasukumwa kama hivyo., kuna vingine pia vina tairi mbilicha tairi nne kingewasumbua kwenye kukata kona, hiyo ni tairi tatu Mkuu, Bajaji/Guta kona kama unanawa, mi nina wasiwasi na breki tu, maana ikishika momentum ya kueleweka sijuhi ataisimamishaje
KUCHEZA NA KUFURAI KUKO PALEPALE HAIJALISHI HATA KAMA TUNAUMASKIN!!!
Watoto wakicheza na kufurahi hata kama vifaa vyao sio vya kisasa lakini maisha yanaendelea.
Lakini mmi nimekumbuka mbali sana sana, yaani waliokuwa na uwezo wa kutengeneza hivi vifaa walikua wanasujudiwa na wenzao, sasa kule kwetu ili upande hiki lazima utoe makome au matunda yaliyo kwenye msimu kwa idadi utakayoambiwa na mwenye gari.. tuliita vifaa hivi KITOTORO AU APOLO
sasa uchagani kwetu ndo usiseme, yanastawi sana sehemu zenye baridi na majimaji, ni yale yale ya njano mtini linakua kama tunda, likianguka linapasuka kunakua na vidude vya round vya njano mpauko si hayo ya kwenye picha, ngoja ntaenda kijiji ntakutupia picha uoneUtowe Makome? Wee utakuwa Mnyamwezi haki ya nani labda kama kuna kabila lenye jina la Matunda hayo kama sisi. Au Makome kikwenu ni nini? Kama ni yale ya njano, nilikuwa siyapendi sana hayo Makome ila Mantonga, mhhhh!!!View attachment 86282
sasa uchagani kwetu ndo usiseme, yanastawi sana sehemu zenye baridi na majimaji, ni yale yale ya njano mtini linakua kama tunda, likianguka linapasuka kunakua na vidude vya round vya njano mpauko si hayo ya kwenye picha, ngoja ntaenda kijiji ntakutupia picha uone
umenianzishia vizuri asubuhi yangu,vikishikwa shikwa unajisikiaje sasa mimi liliwahi kunipasua vidole.hahahahaha kama msichana ukubali kushikwa vimaziwa kama ni wakubwa wakubwa wale, ila waliishia hapohapo
aisee kijijini kuna raha zake wallahi
ngoja wikend ifike mie nikimbie zangu kijijini kwangu.....
Kijijini kwako kuna raha gani Paloma ili kama zinabebeka utugawie ukirudi baada ya weekend.
Ukienda wasalimie ndg, jamaa na marafiki
ntawasalimia banaa uje siku moja na wewe....