Raha ya kanyagio lipate mkanyagaji!!!!!!!!

Ameline mi lile kanyagio la pink ndio ugonjwa wangu uuuwiiiii nishaumwa sijui nitalipataje niweze kupona
 
Ameline mi lile kanyagio la pink ndio ugonjwa wangu uuuwiiiii nishaumwa sijui nitalipataje niweze kupona

ndo unanipa oda hivyo au? we sema tu mamy litakufikia hapo ulipo
 
Eti amelineni kweli mbali ya madhara uliyoyasema faida zake ni kuwa vinasaidia kutengeneza shape ya mwanamke??haswa idara ya hips

kwa mujibu wa watu mbalimbali ni kweli , namm pia naweza kuliamini hili kwani anaevaa high hills hivo nyonga zake zinakaza na zinapanda so inawezekana hips ikasogea., but madhara ni makubwa kuliko faida
 
Eti amelineni kweli mbali ya madhara uliyoyasema faida zake ni kuwa vinasaidia kutengeneza shape ya mwanamke??haswa idara ya hips

Navojua mimi vinakufanya uonekane sexy and attractive pindi unapokuwa umevivaa ila kuhusu kutengeneza hips permanently sijui... Pia ukivaa unaonekana smart hasa pale unapokuwa unaweza kuvimudu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…