umeonaeee....lakini ukilivaa uvumilie tu hizo nyufa za miguu
Hizo nyufa ndio mwake hizo,huyo hata akipita kwenye miiba(mbigili sijui kama unazijua) bila viatu wala hasikii maumivu maana miiba itakuwa inavunjika yenyewe akiikanyangaga,sio sisi tuliozoea viatu mpaka sitting room...
mmm lakini atakua anachana mashuka, na kama neti ipo ndo kubadilisha kila siku maana.......
unasema tu mashuka huulizi iwapo utakupitia kwenye ngozi ya mgongo nini kitakupata.mmm lakini atakua anachana mashuka, na kama neti ipo ndo kubadilisha kila siku maana.......
unavaa na tshirt white........utatokelezea vibaya mno......
unavaa na tshirt white........utatokelezea vibaya mno......