Raha sana

hongera zako mkuu, wish you all the best, may the almight come before you!!
 
Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana.

i love my beibe!!..

Mshukuru Mungu sana kwa hilo mkuu
Maana ni wachache sana wanapata nafasi hiyo ya kuwapata wale ambao wanaweza kuitwa wake katika maisha yao na wenye kuwaelewa au kufikia hapo ulipo
 
Mshukuru Mungu sana kwa hilo mkuu
Maana ni wachache sana wanapata nafasi hiyo ya kuwapata wale ambao wanaweza kuitwa wake katika maisha yao na wenye kuwaelewa au kufikia hapo ulipo

sana tu mkuu.thank you.
 
mhhhh wanageuka hao kaka, mwenzio yashanikuta.

Pole sana.Mimi naamini,chanzo cha mwanamke kukubadilikia ni mienendo yako binafsi.Believe me,when a woman loves,loves for real.Akibadilika,jichunguze wewe binafsi mienendo yako.He will go to search for the best one..
 
Ndugu hongera sana na kila la heri, wanaohisi utasalitiwa wanatumia experiience zao maana wanasema "Every branch of an idea has got its own origin basing of true experience"
 
Ndugu hongera sana na kila la heri, wanaohisi utasalitiwa wanatumia experiience zao maana wanasema "Every branch of an idea has got its own origin basing of true experience"

pamoja cna mkuu..
 
INAUMA SANA.
Siku yule uliyemtegemea na kumuamini 100% anapogeuka na
kukusaliti na kufanya mambo mazito yenye kuchukiza ambayo
hukuyatarajia.
Kila la kheri.

unanikumbusha mbali sana mkuu, we acha tu mtuwangu

Nibola ushukulu kwa kila jambo awezi juwa mungu ka kuepusha na nini
 
Hongera zake, maana mianaume mingine haipendi kushauriwa wala kukosolewa.
 
Back
Top Bottom