BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana.
i love my beibe!!..
Hongera zako kwa kukubali kukosolewa. Kila la heri katika mapenzi yenu.
Last edited by a moderator: