Mapenzi ni ktu kizuri sna
Utasubiri snaNa mtaachana tu!
Labda ndotoniMtaachana tu.
Usirudi endelea na safari nyingine 😂ntarudi
Kwa sababu wewe umesema basi itakuwa hivo 😏Huyo mzungu hatokuoa atakuachaa tu
Sio penzi jipya hiliPenzi jipya halijawahi kukosa mbwembwe!
Mapenzi na pesa ni ktu kizuri sana 😉Hapo mimi nimesoma "hela ni kitu kizuri sana.."