Raha sana kupata mlo nyumbani,karibuni!!!

Raha sana kupata mlo nyumbani,karibuni!!!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,516
Reaction score
13,270
b4f1c86428f1d41e8f4e025e5b0945d5.jpg
 
ndo maana wa mkoani tunaminguvu getegete..😀
 
Dah! Msosi nmeutaman huo! Kuku kakomaa na ugali wa haja
 
Hapo unakula mpk unawaambia wabandiki kisifuria kingine [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Rafiki yangu alipelekwa kwao kondoa akapewa ugali wa mtama akasema kapewa ugali umafanana na wavi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ugali km hii [emoji90] [emoji90] [emoji90]???
 
Back
Top Bottom