Raha na karaha ya kubaka

Raha na karaha ya kubaka

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,898
Reaction score
828,498
Simulizi ya mkesha wa Christmas 1986
Vijana watatu waliokuwa wanatoka kwenye mkesha walikutana na binti aliyekuwa anakimbia huku akiomba msaada
Wakamsimamisha na kumhoji lakini mioyoni mwao wakiwa na nia ovu huku mioyoni mwao wakiwa tayari wameshawaka tamaa
Binti alikimbia m'bakaji mmoja akakutana nao watatu.. Hakuweza kujitetea zaidi ya kukubali yaishe na kurudi kwao akiwa anachechemea huku wabakaji wake wakiishia gizani

Pambazuko la mawio ya Dec 25 1986 liliwakuta vijana wale kwenye hamaniko kubwa la kukimbia mji baada ya msako wa sungusungu na mgambo wa kijiji kuanza kazi
Mbaya zaidi kumbe wabakaji wawili kati ya wale watatu walikuwa ndugu ya mbakwaji.. Kitendo kilifanyika gizani
Raha ya ubakaji ni pale tu unapotimiza kile kitendo by force by power! Akili zote hukuruka na hukumbuki madhara ya baadae

Ukishamaliza kumwaga oil chafu ndio akili hukurudi na kubaki na majuto mengi.. Ni wabakaji wachache sana ambao hawana majuto!

Ubakaji na ukabaji vinatenganishwa na uzi mwembamba sana wa lengo la kitendo.. Na mara nyingi sana wabakaji ni wakabaji

Na hapa isichukuliwe ya kura wabakaji ni jinsia moja tuu.. Hata jinsia pinzani nao hubaka japo ni aghalabu kuwakuta wakikaba!

Majuto ya ubakaji huja baada ya kitendo na hapa ndio pabaya zaidi hasa pale mbakaji atakapotaka kupoteza ushahidi.. Yaani anaweza hata kuua ili kupoteza ushahidi lakini kadiri anavyoua ndio anavyozidi kutengeneza ushahidi na kujiweka wazi huku akijifunua uhalisia wake
Baadhi ya "serial killers" wamejikuta wakiteketeza roho nyingi na kumwaga damu isiyo na hatia kwasababu tu ya kutaka kupoteza ushahidi

Ubakaji japo unachukuliwa kaka kitendo cha kulazimisha ngono! Lakini ubakaji ni zaidi ya hapo na ni dhana pana zaidi..
Je unajua hata demokrasia na uhuru wa mtu vinaweza kubakwa!? Na madhara yake ni kumwaga damu nyingi isiyo na hatia
a8208bf6-d971-41a3-aa08-c02b1db9fcfb.jpeg
 
Aione Samia ambae Kwa dhati naamini anataka kuichoma na kuitia kiberiti nchi hii haiwezekani kuanza kutonesha vidonda badala ya kutibu majeraha kuharibu wameanza kuharibu wao ccm polisi inec na Samia halafu zigo wadondoshewe gen z na chadema ambao hata hawakushiriki uchaguzi wa kimchongo. Endeleeni kupalilia another wave of hostility tutalia wote.
 
Unashtaki na kukamata watu 100 kwenye mji mmoja kionevu Kwa kosa kubwa kama lile halafu utegemee madiwani na polisi walio mtaani waishi salama aiseee kweli akili ni nywele.
 
Chambilambi

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI 2025
RAIS dkt samia suluhu hassan
Makamu: dkt Emanuel john nchimbi
Waziri mkuu: William lukuvi
Naibu waziri mkuu: dkt Dotto mashaka biteko
waziri wa mambo ya ndani: paul christiana makonda
Waziri wa fedha: Juma Aweso Aweso
Waziri wa elimu :Joel Anrtha Nanauka
Waziri wa ulinzi: Mhe George simbachawene
Waziri wa miundombinu na uchukuzi :mhandisi masanja kungu kadogosa
Waziri wa biashara na viwanda: mhe selemani jafo
Waziri wa madini : mhe Antony mavunde
Waziri wa mifugo na uvuvi : mhe Innocent Bashunga
Waziri wa mawasiliano: mhandisi Andrew mathayo Nkundo
Waziri wa kilimo :mhe Bashe
Waziri wa maji; Bahati Ndingo'
 
  • Thanks
Reactions: apk
Aione Samia ambae Kwa dhati naamini anataka kuichoma na kuitia kiberiti nchi hii haiwezekani kuanza kutonesha vidonda badala ya kutibu majeraha kuharibu wameanza kuharibu wao ccm polisi inec na Samia halafu zigo wadondoshewe gen z na chadema ambao hata hawakushiriki uchaguzi wa kimchongo. Endeleeni kupalilia another wave of hostility tutalia wote.
b8cac8d9-caf1-434f-9517-b2e9f800ad00.jpeg
 
Ha
Chambilambi

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI 2025
RAIS dkt samia suluhu hassan
Makamu: dkt Emanuel john nchimbi
Waziri mkuu: William lukuvi
Naibu waziri mkuu: dkt Dotto mashaka biteko
waziri wa mambo ya ndani: paul christiana makonda
Waziri wa fedha: Juma Aweso Aweso
Waziri wa elimu :Joel Anrtha Nanauka
Waziri wa ulinzi: Mhe George simbachawene
Waziri wa miundombinu na uchukuzi :mhandisi masanja kungu kadogosa
Waziri wa biashara na viwanda: mhe selemani jafo
Waziri wa madini : mhe Antony mavunde
Waziri wa mifugo na uvuvi : mhe Innocent Bashunga
Waziri wa mawasiliano: mhandisi Andrew mathayo Nkundo
Waziri wa kilimo :mhe Bashe
Waziri wa maji; Bahati Ndingo'
Hatuwataki hao ccm hata iweje.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kabendera kwenye yale makaratasi yake si alisema eti Jiwe alitaka kumbaka mama wakiwa ikulu? May be she is still traumatized and that's why she is so cruel! She needs to heal first!
 
Kabendera kwenye yale makaratasi yake si alisema eti Jiwe alitaka kumbaka mama wakiwa ikulu? May be she is still traumatized and that's why she is so cruel! She needs to heal first!
Inside story...🥺🤨
 
Back
Top Bottom