Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana
pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.
Jamani kichwa ninachoumwa ni maumivu makali yaani huwa kama mtu ameamka na pombe kichwani
Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.
Nenda urudi na jibu!Hapa naona maji yamezidi unga. Napita.
ht km ni cha juu, au cha chini,,,we inaonekana unafanya sana.mi nakushauri uache hiyo tabia, subiri had uanatakapopata mke wako ndio utuambie yapi yanakusumbua ukiwa kwenye ndoa. sasa hii habari ya uzinzi unataka tukushauri nini?Kichwa cha juu jamani
Huyo jini kisigino yukoje,,fafanuaItakua unaingiliana na jini kisigino! Ni jini mbaya sana ingawa mtamu!!!!!!!!
Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.
ni kweli kuna vichwa viwili vinavyoweza kuuma, kichwa cha muhogo na kichwa chenye ubongo..kama ni kichwa chenye ubongo, aisee uyo mwanamke anakunyonya damu...utakoma,,,,atakuwa na majini mwilini yatakumaliza muda si mrefu...shauri yako....
Jamani hapa panaitwa JF home of the great thinkers...sasa usije hapa kukejeli wenzio mtu anakuja hapa anatoa shida zake kama hujui kaaa kimya, kama unaweza kumshauri msaidie sio kumkashifu na kumsemea vibya..huo ni utoto ukiona hujui kaa kimya ama laa nenda kule kwa watoto fb
Pamoja ya kunywa maji hebu punguza dozi uwe unapiga 1-2 unalala,sasa wewe unataka mechi iishe saa8-9 usiku lazima kichwa kitaauma hujalala wala kupumzika vizuri.