Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,339 Reaction score 16,795 Feb 21, 2014 #2 sisi tunaita hii winunhya!
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,539 Feb 21, 2014 #3 raha jipe mwenyewe at your own risk...
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Feb 21, 2014 #4 ah.....
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,415 Reaction score 9,303 Feb 21, 2014 #5 Tyta said: raha jipe mwenyewe at your own risk... Click to expand... Kwa kweli hiyo ni at your own risk kwa hiyo bembea ni majanga.
Tyta said: raha jipe mwenyewe at your own risk... Click to expand... Kwa kweli hiyo ni at your own risk kwa hiyo bembea ni majanga.
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Feb 21, 2014 #6 hii mbona ni photoshop - angalia hiyo kamba ya bembeya ilipofingwa
T tarvian Senior Member Joined Feb 6, 2014 Posts 139 Reaction score 50 Feb 21, 2014 #7 :flame::flame::flame:your playing with fire.shauri yako.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Feb 21, 2014 #8 heri yake aliejiwekea kwake kuliko alieenda kubembea ulaya..
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Feb 21, 2014 #9 Ha ha ha ha ha ha haaaaah! Huo utepe mmoja ukikatika tu atabembea mpaka chini ya hilo bonde
autorun255 JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 1,105 Reaction score 364 Feb 22, 2014 #11 Huyo atakua mzungu tu... Ni ubunifu mzuri. Hio kamba lazima iwe ya chuma/wire. Mbogo hawezi kuhatarisha maisha yake .
Huyo atakua mzungu tu... Ni ubunifu mzuri. Hio kamba lazima iwe ya chuma/wire. Mbogo hawezi kuhatarisha maisha yake .
kweyamba_dave JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 961 Reaction score 484 Feb 22, 2014 #12 tree house sawa ila yy alipo kule akidondoka anaongezewa urefu wa jina.marehemu......