Akili za masisiem hizi,kwa lipi?kwa kile kipanton cha ferry???lizika na kile ulichonacho na uwezo wako
Ngoja lizame hilo dude ndo utajua walio ardhini wana raha'aje!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Inabidi ujitie moyo kwamba yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo kama alivyosema mfalme Suleiman kwenye kitabu cha Mhubiri katika Biblia.
Kweli kuna watu wanakula Bata mpaka Kuku anaona wivu.
Ila Biblia inasema "Nchi na vyote viijazavyo ni Mali ya Bwana" Huna kitu cha Binadam hapo.