ni bora kama huyu jamaa wamempiga chini coz sidhani kama alikuwa anayajua majukumu yake kisawasawa kama kiongozi wa klabu kubwa ya mpira wa miguu kama simba hapa tz,kikubwa kwake ilikuwa ni sifa tu na kuifanya simba kama sehemu yake kujipambanua zaidi kisiasa ni vizuri akajipumzikid tu sasa