Rage ataka Yanga wahamishiwe Mabwepande
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadick kuhakikisha anawahamisha watani zao Yanga katika eneo la Jangwani kwa kuwa ni hatarishi kwa maisha yao.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Nani Mtani Jembe jijini Dar es Salaam jana, Rage mbali ya kumsifu Sadick kwa kuwaondoa baadhi ya watu na kuwapeleka Mabwepande, anamuomba awaondoe na Yanga kwani ni eneo hatarishi kwa maisha yao.
Anashukuru kwa kunusurika katika operationi kimbunga ya kuwakamata wahamiajia haramu na kuwarudisha kwao, na yeye ilikuwa apelekwe akakabiziwe Mogadishu.