bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,344
- 23,430
Kwa kweli alituwezaHii Kauli aliitoa katika kampeni na akashinda kampeni
Kwa kweli alituwezaHii Kauli aliitoa katika kampeni na akashinda kampeni
Kwa hii ndiyo ilikuwa kauli ya Rage aliyoifuta baada ya kuwaita mbumbumbu siyo!!!
Lakini ya Rage ndio ina nguvu sababu yeye ni mwanachama wa klabu kocha ni muajiriwa tu na anarekodi mbaya ya kutoa kauli za kibaguzi.😆😆Luc eymael alitoa hiyo kauli akiwa bado ni mwajiriwa wa utoporooo...Rage alitoa kauli na kuitengua muda huo huo mkutano wa wanachama ukiendelea