Halafu kutwa kucha tunakesha kulalama kufungwa na ntimu za nje.... wakati muda wetu mwingi tunautumia kurumbana.... Yaani ligi inapokuwa inachezwa, kuwana ligi nyingine nyingi huwa zinaendelea, kama hizi.
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere', amepewa saa 48 na viongozi wa matawi ya Simba mkoa wa Dar es Salaam, awe ametangaza kwa hiari yake kujiuzulu kutokana na kuisigina katiba yao.
Wamesema asipatii amri hiyo ndani ya mda huo basi sebule yake huko kwenye nyumba ya msajili alikopanga wataijaza choo.
Yap hilo la kujaza choo sebuleni ni muafaka kabisa lazima asalimu amri tu.
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage Tutu Vengere, amepewa saa 48 na viongozi wa matawi ya Simba mkoa wa Dar es Salaam, awe ametangaza kwa hiari yake kujiuzulu kutokana na kuisigina katiba yao.
Wamesema asipatii amri hiyo ndani ya mda huo basi sebule yake huko kwenye nyumba ya msajili alikopanga wataijaza choo.
Masaa 48 hayajaisha tu....Nataka kuona sebule ikibadilika kuwa choo.
Rage anapendwa sana SIMBA, Ndo maana licha ya kujua kuwa ni mwizi, bado alichaguliwa, haya ni matokeo ya unyonge