Rage apewa saa 48 simba

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,689

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere’, amepewa saa 48 na viongozi wa matawi ya Simba mkoa wa Dar es Salaam, awe ametangaza kwa hiari yake kujiuzulu kutokana na kuisigina katiba yao.

Wamesema asipatii amri hiyo ndani ya mda huo basi sebule yake huko kwenye nyumba ya msajili alikopanga wataijaza choo.
 
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere', amepewa saa 48 na viongozi wa matawi ya Simba mkoa wa Dar es Salaam, awe ametangaza kwa hiari yake kujiuzulu kutokana na kuisigina katiba yao.

Wamesema asipatii amri hiyo ndani ya mda huo basi sebule yake huko kwenye nyumba ya msajili alikopanga wataijaza choo.
Halafu kutwa kucha tunakesha kulalama kufungwa na ntimu za nje.... wakati muda wetu mwingi tunautumia kurumbana.... Yaani ligi inapokuwa inachezwa, kuwana ligi nyingine nyingi huwa zinaendelea, kama hizi.
 
Huyu Jamaa ana Vyeo vingi sana.Kama Simba wamekosa Mwenyekiti bora wamteue Julie
 
Huyu jangili kumbe bado anaishi pale aeroflot ktk lile ghorofa ..!
Imefika hatua sasa tuache hizi klabu ziendeshwe na wasomi, wazawa, vijana sio hawa magamba majangili...

Aende zake na akileta za kuleta apigwe....apigwe tena mbele ya muasisi wa sera Pinda, apigwe tuuu
 
Hivi nani anaweza kuniambia kwa nini huyu Rage alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa club kama Simba baada ya historia mbovu ya utendaji na ukwapuaji? Nafikiri rushwa ilitembea sio bure.

Yaani Rage hafai kwenye nafasi yoyote ya uongozi, labda kuongoza Al Shabab.

Tiba
 
Yap hilo la kujaza choo sebuleni ni muafaka kabisa lazima asalimu amri tu.
 
Rage anapendwa sana SIMBA, Ndo maana licha ya kujua kuwa ni mwizi, bado alichaguliwa, haya ni matokeo ya unyonge
 
Hivi simba mlikosa kabisa katika watanzania takribani 45m mmoja awe mwenyekiti wenu hadi mkaona huyo msomali aloiua FAT na sasa mkaruhusu aiue na simba???
Watanzania sijui tukije tu???
 
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere’, amepewa saa 48 na viongozi wa matawi ya Simba mkoa wa Dar es Salaam, awe ametangaza kwa hiari yake kujiuzulu kutokana na kuisigina katiba yao.

Wamesema asipatii amri hiyo ndani ya mda huo basi sebule yake huko kwenye nyumba ya msajili alikopanga wataijaza choo.

Duuuuuu!!!!!!! Rageeeeeeeee¡
 
Rage anapendwa sana SIMBA, Ndo maana licha ya kujua kuwa ni mwizi, bado alichaguliwa, haya ni matokeo ya unyonge

Hahaa kweli na njaa za mlo mmoja zinawacost kama ameshindwa kuongoza simba napata taabu Kuamin anawezaje kuongoza jimbo la tabora
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom