Daaaaah, Arab contract, ismailia, zamalek, el ahly, wote walikaaa mbele ya mnyama. Ila sasa hivi Toto ya mwanza, mwadui mnyama anakaaa. Kama vile tunaota.
ni kweli rage ndio alianza kuharibu sima alikuta timu nzuri akaanza kuuza wachezaji bila kutafuta mbadala wao akaja na mambo yake ya kujivua gamba sasa hivi ameshindwa siasa anaanza mipango ya kurudi simba kwa mlango wa nyuma yondani aliondoka kipindi chake alishindwa kumsajili mbuyi twite kwa kifupi hana kitu