Huu ni uhuni hauwezi kutumia saa moja kufanya mkutano wa watu zaidi ya 700, hicho kikao cha harusi tu kinatumia zaidi ya masaa matatu na watu hawafiki 50,
Huyu msomali kaja kuiua klabu hii, mwaka mzima unakaa lisaa limoja hata agenda nadhani hazikuwepo, then hauwezi kusoma mapato na matumizi kwa lugha ya kigeni ili hata TFF watakuwa wanalibariki sio bure lilitakiwa kukemewa kwa nguvu moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.