Rafu za CCM zawaliza CUF

Rafu za CCM zawaliza CUF

Hivi kwa mfano, cuf ndo ikashinda uchaguzi huu wa marudio, je malim Seif atatangazwa mshindi japo bado anasisitiza kususia? Maana jecha yeye kasema, wagombea wote ni halali kisheria, kujiondoa kwao haukufuata itifaki za ZEC. Je wananchi wakaamu kupiga kura za hasira kuchahugua cuf, vipi mshindi wa cuf atatangazwa angali amesusia?

MWENYE uelewa pls backup kidogo.

#HAPAKAZITU
 
Hivi CCM ilipofuta uchaguzi halali ilikuwa na plan B mfukoni.? Naona kufuta uchaguzi halali kunawatatiza hadi kulazimisha watu kupiga kura uchaguzi haramu.
 
Naomba urejee hii kauli "HAKUNA MTAWALA ANAYEPENDA KUTAWALIWA TENA NA VICHAMA VYA AJABU!" Nadhani jibu umepata
 
Real political changes in Africa will largely come as a result of "evolution in the African minds". kwa sasa mambo mawili yanatawala nayo ni ujinga na mabavu
 
maalim-seif-jpg.329807

unguja-jpg.329805
 
Zenj ni shwari hizo picha "zimechongwa". Mengineyo ni fyoko fyoko!!!!!! GTs wanataka kutuaminisha hayo.
 
Washwahili wanausemi usemao Madaraka ni matamu kama asali,Ndio sababu haya yote yanatokea.
 
Hizo ni Picha za pemba sio unguja Mkuu Kuna Tofauti kati ya unguja na pemba.
Najua kuna tofauti kati ya Unguja na Pemba ambazo kwa pamoja hutupa Zanzibar ambayo mimi nimeiita kwa jina la Zenj (Zenjbar). Kwa mantiki hiyo hizo picha za Zenj-iwe Unguja au Pemba hazionyeshi kama huko ni shwari labda kama hizo picha zimechongwa kitu ambacho sikiamini.
 
Zimechongwa kivipi hizo Picha? wakati wewe unajuwa kuwa Rais Magufuli kwa niaba ya chama chake cha CCm wamepeleka Askari visiwani huko utafikiri kuna Vita? Au huoni kwa macho pia? Au huna macho ya kuona? wewe upo wapi kwa sasa ?
 
MziziMkavu nisome vizuri. Utaona andiko langu la kwanza neno kuchongwa nimelibana na andiko langu lililofuatilia nimesema siamini kama hizo picha zimechongwa. Kwa ufupi naamini huko zenj si shwari kama wengine wanavyotaka tuamini. Huwezi ukawa na ulinzi kiasi hicho zidi ya watu wako wa ndani halafu useme ni shwari. Tafadhali soma taratibu.
 
Back
Top Bottom