rafiki zangu wa dar, kesho nitakuja kuwatembelea, nikitokea Zambia, now nipo mkoani mbeya hapa mlowa nitapenda endapo tutatembeleana na kujuana ata kwa sura. nawatakia mfungo mwema. nitawaletea zawadi ya maparachichi. nitapatikana maeneo ya banana
karibu, ila dar imebadilishwa jina inaitwa Mzizima, na duka la sigara ni moja tu lipo maeneo ua tandale uzuri na ukitaka kwenda kununua sigara lazima upate barua ya utambulisho toka kwa mjumbe wa mtaa unaoishi, lakini pia usisahau kuja na madesa yako ya chekechea ili tuone kama ulijifunza kwa hatua. karibu mzizima mkuu.
njombaaa marafiki wa dar wengi ni wakwenye simu...wakisikia unakuja oooh safari zinakuwa nyingi na ngumu kuonana,wanacho dhani unakuja kuwa cost jamani wengine tuna mafungu yetu tunaitaji campani tu