Rafiki Yangu...

Rafiki Yangu...

hahahahahaha Mentor nimekunyooshea vidole,ndo nini kunianika jamvini..................
 
Last edited by a moderator:
Asavali umeuliza. Mimi alishawahi kuntambulisha kwa amu kuwa ndo mchumba wake. Siku nyingine nkamkuta na Madame B, in short, tabia yake siielewi elewi!!!

wewe ulikataa kunitembelea ndo maana akatake advantage akitegemea malipo ya nanihiiiiiiii.................kumbe ikawa tofauti
 
Huyu atakuwa mzabzab tu, bora umpe pesa zitafika ila ukimpa dada au mkeo amsindikize lazima majanga njiai . Sijakuona muda jamvini...upo?

hahaha kwani nimekuwa mngoni wewe? mie nipo bwana mie wake za watu sumu maana lazima uwagegede bila ndom na mie napenda maisha yangu...
 
Hahaha wewe bana nisipokusoma hapa JF siku yangu inakuwa haijawa njema.....style yako imekutoa sana hapa JF (umekuwa femasi)
 
Mwambie tu next time akimtoa out ampeleke sehem zenye akili lkn sio kumpga bit mwenzio kwn hutaki aolewe??

23 kwa 35?kama akitaka kuavoid drama za vishalobalo this is fantastic gap ever...
 
Mh,pole Mentor na vurugu za rafiki yako kakakiiza kwa dada yako,lakini mentor umeweka chumvi au umetudanganya?mwaka wa nne medical students hawaendagi cadaver,hata sisi tumepita hapohapo muhimbili.Hili umetupiga changa la macho,pole yao wasioujua ukweli.
 
hii kali. Ila wajameni twendeni mbele na kurudi nyuma zamani dada wa rafiki yako alikuwa dadako kweli na ulimtreat kama dada au mdogo wako. Hisia za mapenzi ilikuwa ni ngumu sana kuziamsha bila kuwa na uhakika kuwa unachukua jumla. Siku hizi ninaona kama si sahihi unless uwe na uhakika kabisa kuwa huyu ndiye ama sivyo ukichukua na kuacha unauhatarisha urafiki wako na mwenzio unless ulikuwa urafiki mbuzi.... kitu ambacho sio rahisi kwa wanaume.
Umesema sawa kabisa my dear...
nakumbuka nilikuwa na kakangu tulikuwa marafiki saaaana. siku moja akanilalamikia sana kuwa simtendei haki sababu naleta marafiki zangu pale home ambao angekutana nao njiani kwa vyovyote angeshusha mistari. sasa anashindwa kuwashushia sababu ni rafiki zangu na wanamwita kaka, ataanzia wapi?
 
Mie nitambishia kidogo MwanajamiiOne. Naona kama ameangalia issue kwenye side moja ya coin tuu.

Nafikiri hii practice ipo prevalent zaidi kwa akina dada hasa kama kaka zao ni wastaarabu.

Nina maana wewe Mentor unanitambulisha kwa dada yako tena kwa wema kabisa.

Kwa kuwa anaku-regard as the best brother ever, basi ana-assume kuwa na mie rafiki yako nitakuwa kwenye category hiyo hiyo.

Mie nam-treat kama dada yangu lakini yeye yeye anakuja mazima mazima kwa kuona kuwa this is the golden chance to be missed.

Tena anafanya siri bila hata wewe Mentor kujua. At the end of the day unakuja kuambiwa tarehe ya ndoa.

How would you feel? Horrible? Proud? Mixed feeling?
hapa mimi pia nitakubishia......
nakumbuka enzi hizooo kakangu alikuwa na marafiki wengi sana ambao walikuwa karibu sana nami. na kwa sababu tulikuwa tunaishi wawili tu (mimi na kaka) ikawa wale rafiki zake wengi walikuwa hawajaoa na wapo close sana nami, wanakuja nawapikia na pia walikuwa wanapenda sana kunipeleka viwanja.....
nakumbuka kati ya hao, wawili walishawahi kunitokea, na niliwakataa kwa gia kuwa ni kaka zangu na sitaki kumuudhi kakangu kwa kutoka na rafiki zake, niliwaheshimu sana kama kaka zangu.
baadae nilipokuwa naolewa, niliolewa kabla hao kaka zangu wote hawajaoa, wakajikuta kila mtu analalamika kwa kaka kuwa walidhani nitakuwa sister maana niliwakataa. tena nakumbuka kuna huyo mmoja (hakuwa mtanzania) alimlazimisha sana kakangu wasafiri kwenda mkoa ambao mchumbangu alikuwa anaishi ili tu akamwone. Alikuja kutulia baadae saaaana na kukubali matokeo
 
Mh,pole Mentor na vurugu za rafiki yako kakakiiza kwa dada yako,lakini mentor umeweka chumvi au umetudanganya?mwaka wa nne medical students hawaendagi cadaver,hata sisi tumepita hapohapo muhimbili.Hili umetupiga changa la macho,pole yao wasioujua ukweli.

Oh sor yuko mwaka wa tatu dah...sijadanganya niukosea tu. Anaingia mwaka wa nne later this year. Mwaka wa nne ni community nini sijui kaniambia.
 
Wewe unataka thread igeukie kuwa uchambuzi wa "Kasri Ya Mwinyi Fuad" sasa.

Tell me about it. I would really love to hear your point of view to this story. Mind you: Based on a true story.

Huyu atakuwa mzabzab tu, bora umpe pesa zitafika ila ukimpa dada au mkeo amsindikize lazima majanga njiai . Sijakuona muda jamvini...upo?

Hahah mzabzab hata ukimpa pesa ataenda kuhonga..he can never be trusted with either!

Mie nitambishia kidogo MwanajamiiOne. Naona kama ameangalia issue kwenye side moja ya coin tuu.

Nafikiri hii practice ipo prevalent zaidi kwa akina dada hasa kama kaka zao ni wastaarabu.

Nina maana wewe Mentor unanitambulisha kwa dada yako tena kwa wema kabisa.

Kwa kuwa anaku-regard as the best brother ever, basi ana-assume kuwa na mie rafiki yako nitakuwa kwenye category hiyo hiyo.

Mie nam-treat kama dada yangu lakini yeye yeye anakuja mazima mazima kwa kuona kuwa this is the golden chance to be missed.

Tena anafanya siri bila hata wewe Mentor kujua. At the end of the day unakuja kuambiwa tarehe ya ndoa.

How would you feel? Horrible? Proud? Mixed feeling?

Hasira yangu ipo kwenye treatement. Kuna some of my friends singependa kabisa hata kama my sister is head over heels in love with them.

Ila kuna ambao somehow unaridhia. This specific friend ( KakaKiiza) namfahamu tabia zake. Ndiyo maana siwezi kulikubali hilo.

Mwambie tu next time akimtoa out ampeleke sehem zenye akili lkn sio kumpga bit mwenzio kwn hutaki aolewe??

23 kwa 35?kama akitaka kuavoid drama za vishalobalo this is fantastic gap ever...

Hapa tunakuja kujiuliza swali; "Ujana ale na nani uzee amletee mdogo wangu?"
 
Last edited by a moderator:
hapa mimi pia nitakubishia......
nakumbuka enzi hizooo kakangu alikuwa na marafiki wengi sana ambao walikuwa karibu sana nami. na kwa sababu tulikuwa tunaishi wawili tu (mimi na kaka) ikawa wale rafiki zake wengi walikuwa hawajaoa na wapo close sana nami, wanakuja nawapikia na pia walikuwa wanapenda sana kunipeleka viwanja.....
nakumbuka kati ya hao, wawili walishawahi kunitokea, na niliwakataa kwa gia kuwa ni kaka zangu na sitaki kumuudhi kakangu kwa kutoka na rafiki zake, niliwaheshimu sana kama kaka zangu.
baadae nilipokuwa naolewa, niliolewa kabla hao kaka zangu wote hawajaoa, wakajikuta kila mtu analalamika kwa kaka kuwa walidhani nitakuwa sister maana niliwakataa. tena nakumbuka kuna huyo mmoja (hakuwa mtanzania) alimlazimisha sana kakangu wasafiri kwenda mkoa ambao mchumbangu alikuwa anaishi ili tu akamwone. Alikuja kutulia baadae saaaana na kukubali matokeo

Hiyo huwa inatokea ila tusi-base upande mmoja kuwa mwanaume au mwanamke tu ndio huwa na tabia ya kumvunjia heshima mwenzake, ila hiyo huwa inaokea pande zote sio kwa wanaume wala wanawake.

Nadhani dada FP ulishindwa kuwakubali hao rafiki wa kaka yako kwakua ulikuwa umewafanya kama sehemu ya familia yenu (i mean wamekua kama kaka zako wa kuzaliwa tumbo moja na wewe).

Ila muda mwingine hata hao rafiki wa kaka/dada yako wanakupenda kweli ila kutokana na misingi tuliojijengea kuwa ni kama kaka/dada yako tunajikuta tunakataa upendo ule kwa kile tunachosema tumekua kama ndugu.

Swali la kujiuliza
Je kama ni rafiki wa kaka/dada yako haruhusiwi kukupenda?

Copy to: EMT, MwanajamiiOne, Mentor Asnam.
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wako kicheche yani kaja kukuelezea mbona mengi kaacha au kwakuwa hayaelezeki yeye sianaogopa miba sasa kwanini tulikuwa tunaenda naye guest siku hiyo nikwakuwa alinikuta na shori za maana halafu anataka kuniletea usister du mimi nataka hayo!Kwa ksisiter chako kila siku kona baa kinafanya nini pale??! Mentor mwambie mimi siyo sazi yake anitolee uniniriyu!
 
@ Saudari, uko sahihi kabisa rafiki wa kaka/dada yako anaruhusiwa kukupenda ni ruhsa kabisa ila liwe pendo la kweli na awe amedhamiria kuwa hatouharibu urafiki alionao sasa na ndugu ya huyo anayempenda. Hii inawezekana tu pale ambapo mpendaji amejidhihirisha kuwa huyu ndie mpenzi amfaaye yeye na atampenda kwa nia njema tu ili kuudumisha urafiki wake na shemejiye labda tu, nasema labda tu mpendwaji achafue mwenyewe ambapo yeye mpendaji hatolaumiwa.
 
Asavali umeuliza. Mimi alishawahi kuntambulisha kwa amu kuwa ndo mchumba wake. Siku nyingine nkamkuta na Madame B, in short, tabia yake siielewi elewi!!!

Angalia tuu asije kufikia sehem wanasema shake before use au kuwa na label ya expire date mkuu Mentor
 
Last edited by a moderator:
Hiyo huwa inatokea ila tusi-base upande mmoja kuwa mwanaume au mwanamke tu ndio huwa na tabia ya kumvunjia heshima mwenzake, ila hiyo huwa inaokea pande zote sio kwa wanaume wala wanawake.

Nadhani dada FP ulishindwa kuwakubali hao rafiki wa kaka yako kwakua ulikuwa umewafanya kama sehemu ya familia yenu (i mean wamekua kama kaka zako wa kuzaliwa tumbo moja na wewe).

Ila muda mwingine hata hao rafiki wa kaka/dada yako wanakupenda kweli ila kutokana na misingi tuliojijengea kuwa ni kama kaka/dada yako tunajikuta tunakataa upendo ule kwa kile tunachosema tumekua kama ndugu.

Swali la kujiuliza
Je kama ni rafiki wa kaka/dada yako haruhusiwi kukupenda?

Copy to: EMT, MwanajamiiOne, Mentor Asnam.

Jibu: Anaruhusiwa. Ila jinsi atakavyomtongoza mdogo wa rafiki yake ni lazima iwe tofauti kabisa na jinsi anavyotongoza vicheche wengine. In this aweke akilini kuwa chochote atakachofanya kitaweza either kujeopardize his friendship au ku strengthen it!!!

Mdogo wako kicheche yani kaja kukuelezea mbona mengi kaacha au kwakuwa hayaelezeki yeye sianaogopa miba sasa kwanini tulikuwa tunaenda naye guest siku hiyo nikwakuwa alinikuta na shori za maana halafu anataka kuniletea usister du mimi nataka hayo!Kwa ksisiter chako kila siku kona baa kinafanya nini pale??! Mentor mwambie mimi siyo sazi yake anitolee uniniriyu!

Cc: Asnam

Kwani wewe KakaKiiza kona bar huwa unaenda kufanya nini?
 
Last edited by a moderator:
Jibu: Anaruhusiwa. Ila jinsi atakavyomtongoza mdogo wa rafiki yake ni lazima iwe tofauti kabisa na jinsi anavyotongoza vicheche wengine. In this aweke akilini kuwa chochote atakachofanya kitaweza either kujeopardize his friendship au ku strengthen it!!!

Tukate mzizi wa fitina KakaKiiza atajipanga upya ili aweze kupata kikosho cha moyo wake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom