Mkubwa anaulizwa mapito!!Jibu: Anaruhusiwa. Ila jinsi atakavyomtongoza mdogo wa rafiki yake ni lazima iwe tofauti kabisa na jinsi anavyotongoza vicheche wengine. In this aweke akilini kuwa chochote atakachofanya kitaweza either kujeopardize his friendship au ku strengthen it!!!
Cc: Asnam
Kwani wewe KakaKiiza kona bar huwa unaenda kufanya nini?
Mentor rudisha chenji, kadava mwaka wa nne? bora hata useme alikuwa round au theatre, kadava 1st year...
Naona mtu anatafuta umaarufu tu hapa.......
Kaka C6 sio uongo ujue! ni vile mimi sikumbuki vizuri. hilo neno cadaver limenikaa kichwani tangu yuko first year..ndo aliendaga cadaver mara ya kwanza akaacha kula nyama mwezi mzima.
Mwaka huu wa tatu sijui wanafanya nini mwakani atakuwa mwaka wa nne nadhani ndo clinical medicine kama sikosei.
Nani hasa unamlenga hapa:
Mimi KakaKiiza Asnam, mdogo wangu?????????????????
very serious bwana KUN, huwa siongopei jukwaa mimi. Muulize mimisa.
Hivi mwanaume akimpenda dada wa rafiki yake ni dhambi??
unaongopea wapi tu Mentor?
Huo ni baadhi ya mitazamo ya baadhi ya nyamaume;
Huwaonea wivu dada zao kwa kudhani wanaonewa kumbe ni wivu
Kutembea na dada au mama wa rafikio raha kweli.
Bazazi ni Bazazi
Mdogo wangu akiniambia hivi ntamtembezea mkong'oto wa hari ya juu.. Mentor kwanini mdogo wako akutajie aliyemkatalia na hasikutajie wote aliowakubaria?
Oh sor yuko mwaka wa tatu dah...sijadanganya niukosea tu. Anaingia mwaka wa nne later this year. Mwaka wa nne ni community nini sijui kaniambia.
aa sio dhambi....dhambi ni kumpeleka na kumlazimisha mtoto wa watu kunywa vinywaji asivyotaka pamoja na kumshikashika bila hiari yake.Hivi mwanaume akimpenda dada wa rafiki yake ni dhambi??