Rafik yangu kaniita tuenjoy pamoja. Nikamkuta bar yupo na madem wawili mara akanikabidh mmoja (sikuwa namjua huyo demu) kisha akaondoka bila kulipia akanambia MALIZA kila kitu.
Mi nkajua maliza kila kitu niende kugonga papuch!! kumbe ilikua kulipia garama. Mara bili ikaja jumla ya bil yangu 11000/= bil ya rafik yangu 32000/= jumla inakua 43000/= wakat huo mi nimefulia kweli kweli yaani nilikua nina 17000/= tu nkaona hapa ntaumbuka tu ikabidi nimwambie demu nakuja naenda choonu, nikatoroka nikasepa nkamuacha dem anaendelea kunywa.
Hata sijui ilikuaje nyuma huko!!. KAMA NI WEWE UNGEFANYAJE???