Rafiki yangu hajui la kufanya..........!!!

ahhh sasa tutashauri nini hapo?

bora waachane......kila mtu akatafute 'mwenye akili timamu' mwenzie

wewe mtu akili zako wewe!unafanya watu tuwe addicted na hizi post zako tujue utakuwa umecomment nini!
kwa hiyo kula migongo ni akili timamu enh!lol!:shock:
 
Dhambi kubwa sana hiyoo amuombe sana mungu amsamehe na yeye atasamehewa
 
kama mwanamke to me naona huyu mwanamke kakosea manake kosa halisahihishwi kwa kosa hata siku moja.

mumewe mpaka anamfededa basi inamaana alikuwa radhi manake angebama misuli ya **** uume usingepita hata k haya mambo ya ndani eti mume kanifededa wakati mwingine ni kujifedhehesha, wafikir hawa wanaomuita mumewe wanamuita kwa wema?

take my word wengine tena hao hao ndugu wataanza majungu ooh ! fualan aliaaolewa akafededwa ndo maana kaachika to me ninge nyuti kimtindo kisha niseme nae pasi kuona soo. na ukweli yaani ile anataka kunifunua tu yaani ningebana misuli ya **** wallah asinge ingia humo na game ingeishia hapo.

istoshe mume mwenye hekima hawez kuomba kumlawiti mkewe ama mwanamke ............

Mmmh mwalinu gfsonwin,wadada wengi wa mujini bila haya mambo mbona wanakuona wewe sio mwanaume.Lazima tuangalie huku na huku,huu mchezo upo sana,tukubali tukatae japo inategemea mwanamke na mwanamke.
Kuna jamaa yangu yalimkuta haya wakati mkewe anajifungua manurse walimtukana jamaa yangu kwamba ALIMHARIBU mkewe wakati jamaa hajui tigo ni nini.
 
my bro ni kweli unachokisema but try to think kama mwanamke hakuwa anataka kwanini alilegeza maungo? na je kama hadi alisjhaingiliwa kwanini akashtak kwenye ukoo? je wafikir ni rahisi kuwafanya watu wote waamin kwamba hakupenda kufanyiwa haya?

kimsingi ange nyuti ila aseme na mumewe ila kwenda kunadisha kwenye ukoo amebugi step mimi kama ndo mumewe siend n nawaambia kabisa siji. sasa atajua yeye kusuka ama kunyoa.
 
mambo mengine aibu jamani!sipati picha unakaa na baba unashatki kufededwa!mweh wakati mwingine kuwa mwanamke ni kazi i see!
 
Mwalimu gfsonwin hata sijui huyu anataka sympathy au vipi,labda ni mila zao kwenda kujifungulia nyumbani kwao kwa hiyo anajua litabumburuka kwa hiyo anajiwahi mapema othewise sioni kwa nini ameamua kujilipua hivyo
 
huu ni ujinga wa kike mie huwa nauita. mwache akajiabishe mchana kweupe.

Mwalimu gfsonwin hata sijui huyu anataka sympathy au vipi,labda ni mila zao kwenda kujifungulia nyumbani kwao kwa hiyo anajua litabumburuka kwa hiyo anajiwahi mapema othewise sioni kwa nini ameamua kujilipua hivyo
kwani huko kijijini kwao hakuna hosp? ukute binti kazoea kuliwa rujo so hapa anazuga kwamba mumewe ndo kamfanya ili asionekane na kosa siku anazaa.

sasa hapa mwanaume akili kumkichwa binti aliyefumuliwa marinda mara moja anapush kama kawaida ila aliyezoea ndo mbinde sasa akipata tatizo basi mr ajue kwamba kuna anayemsaidia kuila hiyo tigo.
 
Huyu mwanamke ana taka kutwambia alibakwa? Alaf huyu mume kasha zoea ni vigumu kuacha!

Ni aibu sana kwenda kushitaki eti umefededwa! Daaaah ana jitia aibu yeye na mume wake bora wange ongea wawili waka elewana.
 
Kwani jamaa ni kabila gani? Kama ningekuwa mimi ningekana tuhuma kwamba ananisingizia...ningesema hivi "Sisi wahehe huwa hatufili, wanafila watu wa darisalama...Sisi tunalima tu fiasi... hatufili kabisa...tunakula mihindi". Mwanzo nilitaka kutoa ushauri wenye akili kwa sababu hizo situation za wanawake kutaka kwenda kujifungulia kwako nimezikuta kwa zaidi ya ndoa 5 ikiwemo yangu. Nilitaka nimpe maujanja kumbe..mwenzetu anakula fiasi a.k.a mgongo mgongo. Uchafu ulioje kwa taasisi takatifu ya ndoa. Hawa ndio wanaoharibu heshima ya ndoa, reap what you sow
 
Mmmh mwalinu gfsonwin,wadada wengi wa mujini bila haya mambo mbona wanakuona wewe sio mwanaume.Lazima tuangalie huku na huku,huu mchezo upo sana,tukubali tukatae japo inategemea mwanamke na mwanamke.
Kuna jamaa yangu yalimkuta haya wakati mkewe anajifungua manurse walimtukana jamaa yangu kwamba ALIMHARIBU mkewe wakati jamaa hajui tigo ni nini.
Duh nikitoka hapo lazima nikajitundike kwenye kamba au nikameze sumu ya panya lol, fedheha. Leo nimepata terminology m[ya kutoka kwa Mwalimu gfsonwin eti kufededwa.
 
Last edited by a moderator:
wewe mtu akili zako wewe!unafanya watu tuwe addicted na hizi post zako tujue utakuwa umecomment nini!
kwa hiyo kula migongo ni akili timamu enh!lol!:shock:

ha ha haa umeona mabano lakini?
kumbe wewe ni Zombie wa post zangu? lol
polee lol
 
ha ha haa umeona mabano lakini?
kumbe wewe ni Zombie wa post zangu? lol
polee lol

si bora zombie huwa lina tabia za fisi........................
mie teja kabisa!
mh ndo nimesema nini hapa!ah LIWALO NA LIWE!
 
Ameoa mwezi wa nne. sasa hivi mkewe ni mjamzito, wiki iliyopita mkewe amedai arudi nyumbani , jamaa akamgomea, lkn ikawa tifutifu hadi jamaa kamsafirisha, kufika nyumbani , ametoboa siri kumbe jamaa amemla mgongo mkewe hakukubaliana na hali hiyo. kwa sasa anaitwa huko kwao wakina shangazi , wakwe, babu na bibi wanamuhitaji akajieleze........!!! kanijia na taraka eti anampelekea mkewe,nilivyomdadisi ndo akaniambia (nikashindwa la kumshauli) WANA JF tusaidiane tafadhali.

That was rape, yani wanaume wengine sijui huwa tunamatatizo gani,mwenzio akikwambia hataki hiyo achana nayo tafuta wengine ambao wanakubali huo mchezo. Yani huyo asipoangalia wazazi wa binti watampelekesha mapaka atie akili!
 
kama mwanamke to me naona huyu mwanamke kakosea manake kosa halisahihishwi kwa kosa hata siku moja.

mumewe mpaka anamfededa basi inamaana alikuwa radhi manake angebama misuli ya **** uume usingepita hata k haya mambo ya ndani eti mume kanifededa wakati mwingine ni kujifedhehesha, wafikir hawa wanaomuita mumewe wanamuita kwa wema?

take my word wengine tena hao hao ndugu wataanza majungu ooh ! fualan aliaaolewa akafededwa ndo maana kaachika to me ninge nyuti kimtindo kisha niseme nae pasi kuona soo. na ukweli yaani ile anataka kunifunua tu yaani ningebana misuli ya **** wallah asinge ingia humo na game ingeishia hapo.

istoshe mume mwenye hekima hawez kuomba kumlawiti mkewe ama mwanamke ............

No no my dear, ever heard of marital rape? Fuatilia vizuri utagundua the way wanawake wengi sana wakuwa raped in their marriage but they chose to be quite! Its a huge problem and men need to change.
 
Hii kitu cha mgongo inakoelekea ni pabaya kwa staili hii ndoa nyingi zitavunjika

Bora tu waachane ili kila mtu abaki na amani yake

Mwanamke anashiriki dhambi bila ya yeye kupenda
 
BIBLE si imetamka kwamba mke hana amri juu ya mwili bali mumewe.
Hata jicho ni haramu ya mume eti jamani??

Kwa hiyo hata kama unaunywesha sumu mke akubali tu kwa kuwa hana amri juuya mwiliwake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom